Roma ilipokuwa inajengwa kulikuwa na consequeces zake ambazo hazikuepukwa ila ndo maendeleo
Roma ilipokuwa inajengwa kulikuwa na consequeces zake ambazo hazikuepukwa ila ndo maendeleo
lakini sidhani kama Roma ilipokuwa inajengwa kuna watu walikuwa wanakwiba pesa za Roma na kuzipeleka kwenye mabenki ya Misri na kuyatunza huko. Just a thought
lakini sidhani kama Roma ilipokuwa inajengwa kuna watu walikuwa wanakwiba pesa za Roma na kuzipeleka kwenye mabenki ya Misri na kuyatunza huko. Just a thought
Hii inahusiana nini na watu waliolipwa na wamekataa kuhama?
Kuna mtu kaanzisha thread kuwa anataka kuwa rais dikteta wa Tanzania ili alete maendeleo, ndiyo anataka udikteta wa aina hii?
Kama mikataba ya malipo waliyochukua wananchi inawataka waondoke mara moja, kwa kukubali mikataba hiyo na malipo hayo inabidi waondoke mara moja.
Mizengo Pinda alisema yeye si mwanasiasa na kweli katika hili tunaona.Hiyo issue ya kufanya costing kwa kutumia kura sina hakika kama ni yeye amesema au waandishi tu.
Wahindi na Waingereza wanawaonea wivu Wachina kwa sababu Wachina wakitaka kufanya mipango ya maendeleo hawana a bureaucratic democratic system.While the Chinese do not concern themselves with short term voters backlash and because of that, they can ignore short term issues and focus on long term developments (like PM Pinda seems to be doing here, if the report is accurate).Imesemwa kwamba katika muda uliochukuliwa kujenga terminal 5 ya Heathrow wachina wangeweza kujenga Heathrows 5 zilizo na Terminal 5.
Our problems are compounded by not only the transitional nature of our socio-economic settings, but also the commitment of our leaders to long term planning.If Pinda is playing by the book then I totally support him on this.You just do not take compensation and linger around.
But I am not endorsing authoritarianism.Inabidi wote tuheshimu rule of law, tukitaka viongozi wetu waheshimu rule of law na sisi tuheshimu pia.Ndiyo maana narudia kuuliza mkataba wa kuwahamisha ulikubaliwa? Na wote? Uliwapa muda gani kuhama?
..dharau iko wapi? au hilo suala la "kura chache"
..anyways,hivi bongo lazima kila kitu kiwe siasa tu? just wondering.
Kueni na ustaarabu kwani si kila kitu kinachofanywa na serikali kinakuwa na kupewa uzito wa kupingwa ,kama wananchi wamelipwa sasa ,fujo la nini ?
Kuna mambo mengine hayajengi isipokuwa yanabomoa na hli ikiwa vyama vya upinzani vitakuwa vinawatomeza wananchi basi havitokuwa vyama vya siasa bali vyama vya fujo na hapo vitaonekana ndio vinapopata nafasi ya kuwatomeza wananchi,tunasema CCM inawafanya wananchi wajinga lakini kwa hili basi vyama vya Upinzani vinawapumbaza wananchi , isiwe vyama vya upinzani vinajichomeka katika sehemu ambazo sheria na makubaliano yamefanywa kati ya serikali na wananchi vitapoteza muelekeo na vitajenga mchezo ambao utakuwa unarudiwa rudiwa hata hapo hivyo vyama vitakapofanikiwa kuongoza nchi ,ni lazima vyama vya upinzani kujenga tokea sasa utamaduni ambao unamfanya mwananchi wa kawaida kufuata sheria na zaidi pale ambapo kuna makubaliano yalikwisha tendeka ,kwa mfano makubaliano ya kamati za CCM na CUF yalikwisha fanyika na kukubali ,CUF hawakukubali tena kurudi mezani kwani mambo yamekwisha ,sasa wananchi wanapokuwa wameshalipwa serikali haiwezi kukubali kurudi na kukaa tena mezani kujadili malipo mengine.
Kama sheria zimefuatwa na malipo yamekwishafanyika wananchi hawana ubavu wa kudai nyongeza na Mh.Pinda atakuwa yupo katika mstari na wanaoleta fujo ni lazima sheria ifuate mkondo ,mambo mengine yanafaa kuepukwa na vyama vya upinzani viwashawishi wananchi kuwa kutokana na malipo waliyokwisha kubaliana nakupewa au kulipwa basi wakubali kuondoka.Sio kung'ang'ania huo sio upinzani unaotakiwa kufanywa.
Yako mambo mengi ambayo wananchi wanahitaji kufahamishwa na kushawishiwa ili kupata nguvu kwa mfano mabadiliko ya katiba na tume za uchaguzi ,huku ndiko upinzani unatakiwa kuelekeza nguvu zao kuliko huko ambako kuna dalili kuwa malipo yamefanywa.
Upinzani ni kuendeleza nchi katika kufuata mkondo wa sheria na utawala bora ,haiwezekani hapo mambo yamekwenda kisheria halafu upinzani unakwenda kuwaambia wananchi wadai haki yao kwani wamedhulumiwa.

Kueni na ustaarabu ...kama wananchi wamelipwa sasa ,fujo la nini ?
Kama sheria zimefuatwa na malipo yamekwishafanyika wananchi hawana ubavu wa kudai nyongeza na Mh.Pinda atakuwa yupo katika mstari na wanaoleta fujo ni lazima sheria ifuate mkondo
Waziri Mkuu Pinda ageuka mbogo Dodoma
Ma Michael Uledi, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewajia juu wananchi waliolipwa fidia maeneo ya viwanja vilivyochukuliwa na Chuo Kikuu cha Dodoma,akitaka waondoke mara moja.
Pinda alisema, malipo yaliyofanywa yanatosha na watakaokaidi kuondoka wakamatwe na kufikishwa mahakamani.......................
........Kutokana na hali hiyo, Pinda aliagiza uongozi wa mkoa kukamata wananchi wote watakaobainika kuwa, wanataka kuchelewesha ujenzi wa chuo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliliambia Bunge jana wakati akijibu swali la papo kwa hapo kutoka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Bw. Hamad Rashid Mohamed (CUF Wawi).
Alisema iwapo kosa hilo litakuwa la jinai hatua za kisheria zitachukuliwa nakama litakuwa la kisiasa litashughulikiwa kisiasa. Katika swali lake, Bw. Hamad alisema Rais wa Awamu ya Tatu alitumia Ikulu kufanya biashara kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hivyo akataka kujua kwa nini serikali inapata kigugumizi cha kumfikisha mahakamani kwa kosa hilo.
``Suala hili limeibuka kwa nguvu sana katika siku za hivi karibuni na sisi tunajaribu kuliangalia likoje na tutakapofikia uamuzi tutawajulisha,`` alijibu Waziri Mkuu Pinda.
Kuhusu kumfikisha mahakamani, Bw. Pinda alisema, ``unampeleka mtu mahakamani pale unapokuwa na ushahidi wa kutosha Ni lazima ifike mahali tujiridhishe iwapo suala hilo ni la jinai au la kimaadili,`` alisema. (Ippmedia)
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari Dar es Salaam jana, Waziri Mkuu alisema kuibuliwa kwa masuala hayo ya rushwa kwa viongozi na kulazimisha wengine kujiuzulu, ni changamoto kubwa na sasa inabidi mawaziri wawe makini na waangalifu zaidi.
"Hapa mlipotufikisha sasa ni pagumu," alisema Pinda na kuongeza kuwa ingawa masuala mengi ya vitendo vya rushwa yalifanyika katika awamu zilizopita, lakini ni changamoto kwa serikali ya sasa kujitahidi kuhakikisha haiangukii katika mtego wa wengine kutuhumiwa kushiriki vitendo hivyo-----Mgaya Kingoba
Daily News; Monday,May 12, 2008
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameitaka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuhakikisha inajisafisha yenyewe dhidi ya ufisadi kuliondolea taifa dosari itakayosababisha kukosa fedha za misaada kwa wahisani wa mataifa ya nje. Aliyasema hayo jana katika ziara yake fupi ya kutembelea makao makuu ya Tume hiyo Dar es Salaam.---- Daily News; Tuesday,June 03, 2008