Wiki ya Nishati imeanza leo Aprili 15 hadi Aprili 19 kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,990
12,343
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anawakaribisha Wabunge na Wananchi katika Wiki ya Nishati itakayofanyika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 15, Aprili 2024 hadi tarehe 19 Aprili 2024.

Hii ni fursa kwa Wabunge na Wananchi kufahamu utekelezaji wa Sera ya Nishati katika mwaka 2023/2024 na uelekeo wa Sekta ya Nishati katika mwaka 2024/2025 ili kukuza uchumi wa Nchi.
 
Back
Top Bottom