Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu..

**Tunajivunia utaifa wetu
naunga mkono hoja but kidogo nina point of corrections,

Female PM ni ni kuanzia 2030 - 2040 na sio 2025-2030 gentleman,

acha kwanza akamilishe kazi ya kunyoosha maneno kule bunge 🐒
 
Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu..

**Tunajivunia utaifa wetu

Waongeze na IGP,CDF pia
By the way kwa Africa,wanaume ndiyo wanaoongoza nchi.wako back door.

Kuna dada mmoja tu niliwahi kumkubali na sijui alipoteleaga wapi.Alikuwa anaitwa kama sikosei Condoleezza Rice wa USA.Huyu ni miongoni wa viongozi wa kiserikali niliowahi kuwabali sana.sidhani kama kuna niliyemkubali baada yake
 
Itapendeza mkimuweka shilole naona anafaa na anaweza

Ova
 
Tatizo ya ma CCM ishaanza kugawana madaraka - No Reform election kunguru nyie.
 
Kwa muundo huo ina maana hatagombea hata kura za maoni na ubunge! Maana kutoka kuwa PM halafu kuja kuwa mbunge wa kawaida au Waziri wa kawaida sio picha kali
Inategemea na malengo yake
Kama nafasi anayo ni vema akarudi kuwa mbunge kawaida kuliko kuacha
Lowasa alijiondoa na akabaki kuwa mbunge
Sitta alikosa u spika akabaki mbunge
Ni kupanda na kushuka
 
Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu..

**Tunajivunia utaifa wetu
Nini kitabadilika? Kama kuna Rais mwanamke tu ila hamna kilichobadilika wanawake ni watu ambao wanapaswa kukaa nyumbani ili kulea watoto na kuvaa pedi tu
 
Back
Top Bottom