Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

Kwani teyari uchaguzi umeshamalizika.
Au na wewe ni mmoja unayesingiziwa watoto na mke wako alishakujua maji ya mchele
 
Yaani mtoa uzi na wengine wa namna yake kama akina Mayalla huwa nina wafananisha na Walinzi wa Viongozi. Wanamlinda kiongozi na hata kabuli lake pia lkn wao hawalindwi wala makabuli yao hayalindwi.
 
Sasa anaefaa kwenye hiyo nafasi ya uwaziri mkuu ni yule bibi wa bilioni 10 pesa ya mboga. (Tibaijuwise)
 
Daaah. Usenge huu, awe PM manzi tena na Spika Manzi???

Wote walala chali jamani, 😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom