Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

Hili haliwezi kutokea bana, yaani Mwanamke gani tz anaweza vaa viatu as PM? Jenister mhagama na Diploma yake ya ualimu ya kutoka pale Chuo cha ualimu Korogwe au yule Dr aliyeshuka kiwango kule UN na kuishia kuwa balozi ?

Au huyu supika wa bunge la jamhuri ya Tanganyika? No way jamani

Watz sio wajinga kiasi hiki, ifike hatua sasa wanaume tuache uchawa na tuamke bana
 
Basi ivunjwe rekodi ya namibia, waziri mkuu mwanamke, igp, cdf, cgp, mkuu wa makachero, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya wawe wanawake watupu
 
Hili haliwezi kutokea bana, yaani Mwanamke gani tz anaweza vaa viatu as PM? Jenister mhagama na Diploma yake ya ualimu ya kutoka pale Chuo cha ualimu Korogwe au yule Dr aliyeshuka kiwango kule UN na kuishia kuwa balozi ?

Au huyu supika wa bunge la jamhuri ya Tanganyika? No way jamani

Watz sio wajinga kiasi hiki, ifike hatua sasa wanaume tuache uchawa na tuamke bana
Usimalize nguvu zako.mkuu 🤣 omba uzima na amani na familia yako ile ishibe na ujifunge mkanda mana yajayo yanafurahisha🤣🤣
We huoni wakuu wa nchi wote wamevaa vitenge vya mama we huogopi?
 
Ikimpendeza baraza la mawaziri lote ikiwemo na makamo wa raisi liwe la wanawake.

Itarahisisha dhamira yake ya kuizika kabisa hii nchi, maana ikiwa yeye peke yake kaweza kuleta anguko la nchi hii kwa miaka 4 nina hakika wakiwa wote wanawake watalitimiza kwa miezi kadhaa tu.

Mama mitano tena.

Sheria za kiislam znasemaje? Khs mwanamke kuwa kiongozi
 
Jamiiforum inakosa mvuto kwa sababu wanachama wake wengi wana akili ndogo sana,inabidi wanaomiliki hili jukwaa wafanye jambo.Kwani jambo la msingi katika cheo cha uwaziri mkuu ni jinsia au ni uwezo?
 
Usimalize nguvu zako.mkuu 🤣 omba uzima na amani na familia yako ile ishibe na ujifunge mkanda mana yajayo yanafurahisha🤣🤣
We huoni wakuu wa nchi wote wamevaa vitenge vya mama we huogopi?
Asante sana my dear kwa ushauri lakini kuhusu familia mke mwenyewe ndio bado kumpata hivyo kama kuna connection naomba nipasie tu

Awe na miaka 25 hadi 33, mwenye hofu ya Mungu, awe tayari kupima HIV pamoja, ASIWE NA MTOTO AU WATOTO.

Kama anakidhi vigezo chap naweka ndani na kujenga familia bora
 
Atokee mkoa gani
 
Back
Top Bottom