SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu..
**Tunajivunia utaifa wetu
**Tunajivunia utaifa wetu
Doto vipi?Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu
Ile jinsia ile hapana!Tukiitoa nchi kwenye mikono ya wanawake hatuirudishi kwao tena tumekoma
Naona yaleyale tu,labda aje mwanaume km Putin, Traole,magu, Trump wanaoweza kufanya maamuzi magumuTukiitoa nchi kwenye mikono ya wanawake hatuirudishi kwao tena tumekoma
Election is a must, reform may be later 2040.No reforms no election
SureElection is a must, reform may be later 2040.
Si ni mpaka ashinde kura za maoni ndani ya chama na kisha ashinde uchaguzi wenyewe, au ni uhakika kote atatoboa?Doto vipi?
Naona Kassim Majaliwa kachemka imebidi tu afuate upepo unavyoenda anaogopa kukurupuka na kuaibika kwa kupewa mipashoNaona yaleyale tu,labda aje mwanaume km Putin, Traole,magu, Trump wanaoweza kufanya maamuzi magumu
Ajabu wakuu wa majeshi yote (isipokuwa uhamiaji), ni wanaume.Tukiitoa nchi kwenye mikono ya wanawake hatuirudishi kwao tena tumekoma
Kwa muundo huo ina maana hatagombea hata kura za maoni na ubunge! Maana kutoka kuwa PM halafu kuja kuwa mbunge wa kawaida au Waziri wa kawaida sio picha kaliNaona Kassim Majaliwa kachemka imebidi tu afuate upepo unavyoenda anaogopa kukurupuka na kuaibika kwa kupewa mipasho