Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,527
- 37,943
Paskali unatamani sana jamaa arudi sioTunaomba updates live
P
Utabiri wako utimie sio....??
Hivi upo chama gani mzee
Paskali unatamani sana jamaa arudi sioTunaomba updates live
P
Paskali unatamani sana jamaa arudi sio
Utabiri wako utimie sio....??
Hivi upo chama gani mzee
Paskali unatamani sana jamaa arudi sio
Utabiri wako utimie sio....??
Hivi upo chama gani mzee
Mbona hajakubalika kwa mzungu mkulima?
Shangilieni sana, ila msije kubana midomo yenu mtakapo gundua kuwa atakacho sema Sumaye ni tofauti na matarajio yenu.
Tena asiende mwenyewe, aende na mke kabisa ili wasaidiane kutuambia hayo mambo mazito. Ni hivi akamalizie uzee wake huko alikolia ujana wake.