Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye kukutana na Waandishi wa Habari Desemba 04, 2019

Status
Not open for further replies.
Hii habari nimeona Michuzi nae kaipost basi tena sasa naamini Mzee Sumaye anaenda kuunga mguu Juhudi maana Michuzi ni moja ya spika za chama
 
Mkirindi,

Unajichanganya, kuna popote nimemtetea Mbowe? Utetezi wake wa juzi baada ya kushindwa tumemjua vizuri. Arudi ccm haraka sana
 
mbona kashasema alishughulikiwa kutokana na kunyemelea nafasi ya Mtume Mbowe
Mbona hajakubalika kwa mzungu mkulima?
Shangilieni sana, ila msije kubana midomo yenu mtakapo gundua kuwa atakacho sema Sumaye ni tofauti na matarajio yenu.
 
Kama Sumaye anachukia ukandamizaji wa CCM na dhamira yake ilikuwa kumkomboa mtanzania basi itajulikana.
Kama Chadema amegundua sio chama stahili kwake sio jambo baya kuondoka, lakini kwa MTU makini lazima anaondoka na kwenda kwenye chama cha kutimiza dhamira yake ya kukomboa. Hivyo akijiunga na ACT au NCCR au LND nk tutaona anadhamira ya kweli.

Kurudi ccm kama wengine walio meza kauli zao binafsi nitamdharau sana maana ccm haijabadilika hivyo kauli zake zilikuwa UONGO MTUPU.

Mtu aliyefikia ngazi yake kutangazwa rasmi kuwa ni muongo no fedheha kubwa sana, na sidhani Sumaye anaenda kuwa hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom