Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya ametengwa au amejitenga na siasa za CCM na s=Serikali

Usisahau umri wa passport wa Msuya ni almost 90! Na kwa mambo ya zamani ya kutokuwa na takwimu sahihi unaweza kukuta yupo above 90! NI watu wachache sana kama akina Mzee Mwinyi ndio bado wanaweza kuwa na afya mzuri wakati wameshagonga 80! Hivi hata mzee mwenzie Le Mutuz unamsikia sikia sana siku hizi?! Na hapo ujue Mzee Msuya ni mkubwa kuliko mzee mwenzie Le Mutuz!!
Le mutuz jana aliunguruma Idodomia
 
Huyu mzee Msuya kwa sasa ana miaka88 acheni kumuweka mizania moja na kina Pinda na Warioba waliozaliwa miaka ya katikati ya 40.
Hata hivyo ni vile mzee anaishi a decent life otherwise angekuwa ni mwingine ungekuta hata kutembea hawezi.Huyu mzee na Malecela wamezidiana kidogo japo Msuya amemzidi Malecela kwa kwa miaka 3.
 
Yuko kijijini au yuko masaki?

Hahahaha...hivi ni kweli au ni utani wenu wachaga na wapare...
Bro Mpare ni bahili akina Sanga wakosome.
Hao jamaa wachoyo mnooo.
Huwaga aipenfi kuongea uongo hata kama ni utani.
Mpare akiwa mkuu wa idara mtalimia meno
Bahili mnoo.
Mchagga mwizi na mtafutaji mzuri lkn pia ni watoaji sana sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom