ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 573
- 903
Ummy mwalimu
Jalala lina mhusu kwa sasaProf Kabudi!
SahihiShe Needs to bite what she can Chew.....
Mtaka yote kwa Pupa..., Hukosa Yote...,
Haste, haste ajenge timu
Saana...yaani atatishwaje na 'mke wa Yesu'Ayubu akijiuzulu ataonyesha ufala Sana.
Tunywe mtori nyama tutazikuta chini.
Spika ni Dr Emmanuel Nchimbi
Spika siyo lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa ila naibu spika lazima awe Mbunge ama wa kuchaguliwa au wa kuteuliwa.Ni mbunge wa kuchaguliwa?
Umekoment hivi au kuna mtu kashika simu akakoment fasta without known !.Utakuwa wewe,
U pm kweli uko TANGA lkn Ni kipara sio huyu aliyemsaidia Magufuli kuondoa kovid nchiniOddo Ummy Mwalimu anatosha kwenye nafasi ya PM. Anachapa kazi nzuri sana yule dada
Mimi sifanyi siasa za aina hii mkuu, Napenda sana fact,Umekoment hivi au kuna mtu kashika simu akakoment fasta without known !.
Ampishe February MaropeMajaliwa apishe
Kwani juzi hukumuona kwenye mkutano wa Rais wa kupokea taarifa ya ujenzi wa madarasa?Kabla hatujafika huko, kwanza tujibu swali hili;
Vice President, Dr. Philip Mpango yuko wapi? What's wrong with this Mzee?
Kakaaa kimya sana sababu anaona kuna mambo.mazito kwa hyo bora kukaa kimya tu hekima silence is wisdom...Kabla hatujafika huko, kwanza tujibu swali hili;
Vice President, Dr. Philip Mpango yuko wapi? What's wrong with this Mzee?
Spika siyo lazima awe mbunge achana na mbunge wa kuchaguliwa.Spika anatakiwa awe na sifa ambazo kama angetaka kuvombea ubunge angeweza kugombea.Ni mbunge wa kuchaguliwa?