Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

Umekazana na Halima hadi unamsahau Mbowe, kumbuka kuna andiko linaonya kuwa "nilikuwa mfungwa hukunitembelea'
Hoja ni machungu kwa walipa kodi sasa Mbowe analipwa kwa kodi ya wananchi? Sometimes uwe na akili pana ya kujadiri yanayohusiana.
 
Hoja ni machungu kwa walipa kodi sasa Mbowe analipwa kwa kodi ya wananchi? Sometimes uwe na akili pana ya kujadiri yanayohusiana.
Linganisha hasara linayopata taifa kwa kutokana na Mbowe kukaa mahabusi na hasara linayopata kwa Halima na wenzake kuwa bungeni. Hata kama siyo hao akina Halima bado watapelekwa wengine 19 badala yao, hiyo hakuna cha kuokoa hapo.
 
Huyu mama aliionywa mapema kuachana na kabineti ya Jiwe lakini alitupuuza
Kwani mzee wa Msoga ilipomshinda nchi alikuwa amerithi sukumagang?
Si rafiki zake kina Chenge,Kalamagi,Rostam nk.waliomuharibia?

Ngoja ajaze wazanzibar wenzake akose kisingizio.
Hivyi yeye hakuwa sehemu ya utawala wa Jiwe au kujitoa ufahamu?
 
Linganisha hasara linayopata taifa kwa kutokana na Mbowe kukaa mahabusi na hasara linayopata kwa Halima na wenzake kuwa bungeni. Hata kama siyo hao akina Halima bado watapelekwa wengine 19 badala yao, hiyo hakuna cha kuokoa hapo.
Sawa mkuu nimekuelewa.
 
Ni mbunge wa kuchaguliwa?
Sio lazima Spika awe mbunge wakuchaguliwa.Uspika anaweza kugombea hata mtu asiye mbunge ila awe mwanachama wa chama cha kisiasa kwa mujibu wa katiba.

Waziri mkuu ndiyo lazima awe mbunge wakuchaguliwa.
 
Rais ameonyesha udhaifu mkubwa sana pamoja na uvunjivu mkubwa wa katiba yetu kwa kusema atapangua Baraza la Mawaziri eti kwasababu tu kuna watu wanataka kugombea Urais mwaka 2025.

Watu kugombea urais ni haki yao ya kikatiba.Iweje kama mtu anataka kutimiza haki zake za kikatiba aadhibiwe kwa kunyang'anywa uwaziri?

CCM mmelea ujinga mwingi sana kwenye hii nchi na ujinga huo utawatafuna ninyi kuliko mtu mwingine yoyote yule.

Ndugai leo mvua inamnyeshea kwa sababu alilea ujinga wa kunyima mihimili kuwa huru.Ujinga alioutenda na kuulea ndiyo unamtafuna leo.Ndugai angepigania nchi kuwa na katiba mpya leo angekuwa na uhuru wa kutoa maoni yake kama mhimili huru.View attachment 2070437

Kaburi mnalochimba CCM litawafukia ninyi CCM wenyewe.
 
Jina lako ..linaleta mashaka kuamini but huenda code ya marope ndy unaimanisha sana uongo mkuu mdanganaji?
Ukiunganisha tweet ya kigogo kumhusu aliyemuita katelephone na baada ya siku chache samia naye kaja na ile ya huko kwa kasimu, siwezi shangaa makamba akipaa.

Kuna watu wanazijua fitna utadhani wataishi duniani milele.
 
Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule.

Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa ni chaguo lake na yeye. Sasa hivi Majaliwa siyo chaguo lake, alimrithi kutoka JPM.
Kama siyo Majaliwa nani anaweza kusimamia agenda ya Samia?

Je ni zamu ya mwanamke?
Mmoja wa vijana wake wataka Urais?
Pendekezo: Makamu: Mr
Ridhiwan,
Spika: Dr. Tulia,
PM: Dr. Makamba Jr.,
 
Kwani mzee wa Msoga ilipomshinda nchi alikuwa amerithi sukumagang?
Si rafiki zake kina Chenge,Kalamagi,Rostam nk.waliomuharibia?

Ngoja ajaze wazanzibar wenzake akose kisingizio.
Hivyi yeye hakuwa sehemu ya utawala wa Jiwe au kujitoa ufahamu?
Kama mzee wa msoga aliyeajiri kila mwaka,kuza uchumi,Uhuru wa habari,nchi ilimshinda..Basi hatujawahi pata rais ambaye aliiweza nchi,maana wengine walipangisha watu foleni za unga,wakafulia majani ya mpapai,sukari guru na gwanji
 
Waziri wa Utumishi mkwe anaenda kuwa PM, binafsi huwa hata sijui mzee Majaliwa anafanya nini serikalini
 
Back
Top Bottom