Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

Mambo yetu hayako magumu kiasi hicho Mzee Mwanakijiji , yeyote atakaechaguliwa itabidi afuate upepo wa anachotaka Mama. Hakuna haja ya kuumiza kichwa sana. Kinachotafutwa sio mchapakazi au mtu makini kwenye utendaji, anatakuwa atakaeendana na ajenda za Mama hasa kuelekea 2025.

Umeona watu walivyomgeuka JPM hadharani?

Ndio maana watu tunapendekeza haya mambo ya uwaziri, watu waombe kwa vigezo kwa mchakato shindanishi.
Isiwe teuzi kutoka kwa wabunge.

Masikini hana kiapo...hali kadhalika usimwamini mwana siasa.
 
Niko hapa Mbaramo tangu juzi. Kijiji kina ugeni mwingi sana V8 VXR ziko tatu. Hizi double kebini tinted ziko 4. Huko nje harufu ya nyama ya mbuzi imertawala.
Ngoja nasisi wagosi tule pesa ya Uma.
Jina lako ..linaleta mashaka kuamini but huenda code ya marope ndy unaimanisha sana uongo mkuu mdanganaji?
 
Ni bora hao wanaotambulika kisheria kuliko wale uviko 19 wasiokuwa na chama mule bungeni kwa hisani ya Ndugai
Umekazana na Halima hadi unamsahau Mbowe, kumbuka kuna andiko linaonya kuwa "nilikuwa mfungwa hukunitembelea'
 
Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule.

Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa ni chaguo lake na yeye. Sasa hivi Majaliwa siyo chaguo lake, alimrithi kutoka JPM.
Kama siyo Majaliwa nani anaweza kusimamia agenda ya Samia?

Je ni zamu ya mwanamke?
Mmoja wa vijana wake wataka Urais?
Muangalie kwa jicho la kipekee Ummy Mwalimu!

Utashangaa ndio Majaliwa wa Kesho.
 
Ni mbunge wa kuchaguliwa?
Ishu ya spika nadhani yeyote anaweza kugombea hata kama hana jimbo. Nakumbuka Mabere Marando aliwahi kugombea kwa kupitia upinzani na hakuwa mbunge.
 
Back
Top Bottom