Waziri mkuu mh Majaliwa anafungua Jengo la Bodi ya mkonge na urejeshwaji wa mali zilizoporwa kifisadi

Waziri mkuu mh Majaliwa anafungua jengo la ofisi za bodi ya mkonge na kushuhudia utekelezaji wa agizo lake lililotaka mali zote za Mkonge zilizoporwa na mafisadi zirejeshwe.

Karibu.

Up datea;
Cc Mohamed Said mzee kuna siku ulikuja na taazia ya aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa mkonge..
Ningeomba ikikupendeza utie neno kwenye shutma za ufisadi kuwekwa kwake rumande hadi kurudishwa kwa mali hizi za kifisadi.
Maana naona ukiacha hv uongo unaweza ukweli... na ukweli ukawa uongo.
 
Back
Top Bottom