Waziri Mkuu Majaliwa huu ni mwezi wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi lini?

Hesabu kuanzia mwaka mmoja mbele ndipo inaweza kuanza kazi.
Ni chizi gani aliyetoa structure ya sgr dar ipite juu?
80% au zaidi ya pesa za mradi zimeishia kwenye kuweka minguzo hapa dar na bado haijakamilika
Wewe ni wakuonewa huruma tu maana uwezo wako ndipo ulipoishia kwa sasa.
 
Huyu jamaa si ameshakimbia toka TRC baada ya "kuchoshwa" kuripoti reli kila siku ipo 97% kipande kimekamilika, akaona heshima yake kiuandishi wa habari inashuka.

Miradi yote ya kipindi cha Magufuli matangazo ilikuwa yako 80%+, na kuna watu waliamini kabisa zile propaganda.
 
Mbona waziri alisema kua wanatarajia Disemba waanze majaribio
 
Kwani na wewe unataka SGR?
Nimecheka kwa nguvu kinoma, mzee wa siasa chafu unajua kichaka cha kujifichia kinaanza kuchomwa moto. Mwezi Novemba tutakuja kuhoji uongo mwingine wa kujaza maji bwawa la Samaki. Labda mfufue tena lile kundi lenu la watu wasiojulikana kuanza kuteka tunaweka huo uongo hadharani. Ni kama nakuona hapa nilipo.
 
Mbona waziri alisema kua wanatarajia Disemba waanze majaribio

Magufuli alisema Dar-Moro itakamilika Nov 2019, ikashindikana maana ilikuwa ni propaganda. 2020 ikaisha yote na ahadi za uongo uongo. Hii 2021 waziri Mkuu mwezi aprili akatangaza mwezi August safari zinaanza sijui majaribio. Huyo waziri aliyesema itakuwa desemba ni sehemu ya uongo huo huo. Tusipohoji sasa itageuka kuishia kama ile propaganda ya kuwa Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda, kisha tukaambiwa vimejengwa viwanda 8,000+, vingi nadhani kuliko vya China. Uzuri uongo huwezi kuuficha ngoja tusubiri hiyo desemba.
 
Huyu toka aongee uongo masjid cna imani nae tena
 
SGR haikuhusu wewe nyumbu! Kamsalimie Gaidi Mbowe huko Segerea.
 
PM anapewa ripoti na wataalamu na wahusika. Yeye sio fundi wala msimamizi wa mradi. Kabla ya kuanza kumshutumu, lazima tuwe na picha nzima ya nani alifanya au kusema nini
 
Kati ya waropokaji wachache tulioachiwa na Magufuli ni huyo Kasimu Majaliwa, anaahidi OCEAN wakati utekelezaji ni pond
 
PM anapewa ripoti na wataalamu na wahusika. Yeye sio fundi wala msimamizi wa mradi. Kabla ya kuanza kumshutumu, lazima tuwe na picha nzima ya nani alifanya au kusema nini

Ila ingekuwa ni sifa na ingekuwa yake na sio ya wataalamu. Kila siku anazunguka na maVXR kwanini asiende kujiridhisha na ukweli anaoambiwa na hao wataalamu?
 
Kwani wewe unaulizia SGR ya nini?

Kwani wewe unataka kula Sgr?

Wewe unataka hela mfukoni siyo SGR sasa unaulizia ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…