Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,990
- 103,373
- Thread starter
- #81
Kwani wewe unaulizia SGR ya nini?
Kwani wewe unataka kula Sgr?
Wewe unataka hela mfukoni siyo SGR sasa unaulizia ya nini?
Mlipora uchaguzi mkasahau kuwa mna uwezo mdogo, sasa mnaumbuka. Hakikisheni vyombo vya dola vinaendelea kuwabeba maana hamna jipya.