Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
2,910
2,000
Kwenye kampeni za CCM atumie mali ya umma? nimekutukana tusi kubwa sn
Ndege ni za biashara je kama amekodi utakataaa?
Pia ujue chato ku route ya ndege huko kwa hiyo yeye haruhusiwi kuipanda?
 

Nyamizi

Platinum Member
Feb 19, 2009
2,364
2,000
Siku mkikua mtaacha. ahadi ya serikali wakati wa mazishi ilikuwa kuendelea kumwangalia mama Mzazi wa JPM. Mnataka serikali ifanyaje sasa???
Mkipata dola mtalipiza kisasi

Na hawatokaa washike hiyo Dola,waache waendelee na siasa za uanaharakati ndiyo zinawafaa.
 

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,619
2,000
Mimi ninaamini mtu zaidi kwa Uzalendo wake kwa Taifa changa kama Tanzania na si kuvalia Sare za Chama fulani,hivi Kuna Siri gani ya kutaka kutuaminisha Kuwa Waziri Mkuu Majaliwa hafai wakati sisi tunamuona anafaa kwa ajili ya kututetea sisi wanyonge nafikiri Watanzania tushtuke Kuna watu hawana Nia njema na Taifa hili,wanataka kutupiga parefu haraka haraka.
 

1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,206
2,000
Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Ulitaka atumie ndege ya baba yako? Stupid, very stupid indeed...mijitu mingine hovyo Sana...thinking capacity zero...
Shughuli za kichama atumie mali ya umma? shame on you
It is business...chama kimelipia...ukiona hata TBC iko live kwa Mambo ya chama tambua au fahamu kuwa CCM au hata chadema imelipia...
Aidha ukiona Rais anatumia ndege ya ATC tambua kuwa serikali inalipia...
 

Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
3,574
2,000
Hivi kwanini ninyi watu mna chuki zilizokithiri dhidi ya hayati JPM?

Waziri mkuu ndiye huwa msimamizi wa mazishi na hifadhi ya viongozi waandamizi na hasa hapo aliyefariki alikuwa Rais wa nchi kwa hiyo mnachokitaka kitu gani wakati tayari adhima yenu mlishaitekeleza?

Hao watu mnaowasimanga na wamekaa kimya kwa sasa ni wa hatari sana wakikasikirika msije mkasingizia ilikuwa ni siasa tu

Lieni na wale wanao lia, farijianeni ninyi kwa ninyi na furahini wote kwa pamoja
Wakati wanafurahi, walifurahia maisha wao peke yao. Sasa kwanini wakati wanalia, tulie nao????
 

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,405
2,000
..hivi wasukuma hawana mila ya mjane kurithiwa na mmoja wa ndugu wa mume wake?

..kuna makabila ambayo mwanaume akifarika mke au wake zake wanaozwa kwa ndugu wa kiume aliyebaki.
Kwani msukuma no yupi?
Labda Wahutu ndiyo Wana Mila hizo.
 

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
3,045
2,000
Ulitaka atumie ndege ya baba yako? Stupid, very stupid indeed...mijitu mingine hovyo Sana...thinking capacity zero...
It is business...chama kimelipia...ukiona hata TBC iko live kwa Mambo ya chama tambua au fahamu kuwa CCM au hata chadema imelipia...
Aidha ukiona Rais anatumia ndege ya ATC tambua kuwa serikali inalipia...
Nyumbu hawana uwezo wa kuona hilo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom