Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

TOHATO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,102
2,000
Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Sio dharau ila naona wanatuonesha hayo mandege hayana kazi kifupi tulikurupuka kununua.. naona hata nae mama katumia hizo hizo japo ndege ya raisi ipo.
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,283
2,000
Matumaini ya wapenda haki, uhuru, umoja na ulinzi wa raslimali za taifa yamebaki kwako Waziri mkuu Kassim Majaliwa...upande mwingine kuna kiongozi mzoefu NGO tu! Wajanja wameishaanza kumsogeza kwenye bembea, juisi, na selfie huku mlango wa nyuma wanajiandaa kupandisha twiga kwenye ndege zaSaudi Arabian Army!
Mbinu ya yao ni ile ile ya tangu zamani....wanakupepea kwa raha huku!
Mkwere.jpg
 
Mbunge Wa Kitaa

Senior Member
May 25, 2014
114
250
Hivi kwanini ninyi watu mna chuki zilizokithiri dhidi ya hayati JPM?

Waziri mkuu ndiye huwa msimamizi wa mazishi na hifadhi ya viongozi waandamizi na hasa hapo aliyefariki alikuwa Rais wa nchi kwa hiyo mnachokitaka kitu gani wakati tayari adhima yenu mlishaitekeleza?

Hao watu mnaowasimanga na wamekaa kimya kwa sasa ni wa hatari sana wakikasikirika msije mkasingizia ilikuwa ni siasa tu

Lieni na wale wanao lia, farijianeni ninyi kwa ninyi na furahini wote kwa pamoja
Mkuu umenena vyema. Tuna siasa zisizo na afya hasa kwa upande wa upinzani. Mimi naona namna wanavyoongoza mambo yao haitabadilika kamwe. Chadema na wapinzani wengine jifunzeni kufanya siasa. Muacha utoto.
 
Kaka pembe

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
581
1,000
Hivi kwanini ninyi watu mna chuki zilizokithiri dhidi ya hayati JPM?

Waziri mkuu ndiye huwa msimamizi wa mazishi na hifadhi ya viongozi waandamizi na hasa hapo aliyefariki alikuwa Rais wa nchi kwa hiyo mnachokitaka kitu gani wakati tayari adhima yenu mlishaitekeleza?

Hao watu mnaowasimanga na wamekaa kimya kwa sasa ni wa hatari sana wakikasikirika msije mkasingizia ilikuwa ni siasa tu

Lieni na wale wanao lia, farijianeni ninyi kwa ninyi na furahini wote kwa pamoja
Ety kuangalia KABURI. Enhee kwani limekuwaje tena.....pesa inavotusumbua hivo mtaani wengine wanajichotea tuu....so sad.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom