Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

Ni sawa sawa kwenda kujulua hali familia na pia huyo mgonjwa kujua kama kunahirajika msaada zaidi ingawa najua huduma zore anapata za uhakika hapo alipo....
 
Mwambieni awafikishie salam walinda kaburi wa zamu hapo chato.
Kuna kitu umesahau kukisemea, hivi wewe unatambulika kwa lipi?
What are you known for?
Hayati Magufuli anatambulika kwa mengi ... R.I.P my dearest brother John .P.M.
 
Kuna kitu umesahau kukisemea, hivi wewe unatambulika kwa lipi?
What are you known for?
Hayati Magufuli anatambulika kwa memgi ... R.I.P my dearest brother John .P.M.
Mbona kama unanilazimisha nimtambuwe huyo JPM wako kwani ni lazima? Halafu siyo lazima wewe unitambuwe hata nikitambuliwa na mkewangu inanitosha.
 
Hiyi ni shughuli ya Chama gani?
Yeye mi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivo ndege za serikali ruksa
Na huyo alienda kumjulia hali ni mwananchi wa Jamhuri ya Muungano.
 
Mbona kama unanilazimisha nimtambuwe huyo JPM wako kwani ni lazima? Halafu siyo lazima wewe unitambuwe hata nikitambuliwa na mkewangu inanitosha.
Nimeaongea au Kuzungumzia falsafa kubwa sana ambayo kwa akili ya kawaida (average mind sitegemei uta ielewa). Ngoja nirudie kwa lugha ya visimbuzi WHAT ARE YOU KNOWN FOR?
Kila binadamu lazima atambulike au ajulikane kwa jambo flani ambalo ni makusudi ya Mungu kumuumba huyo mtu na kumleta hapa duniani.
 
Ya marehemu. Si alikuwa na eapoti yake😂


Nongwa za huyo marehemu ndiyo zimesababisha watu wamchukie
Wewe endelea kumchukia, kukejeli na kutukana. Haipunguzi nukta hata moja. Kifupi haina madhara. Serikali ndo kama ivo inawatizama familia yake kwa karibu
 
Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Ulitaka atumie ndege ya baba yako? Stupid, very stupid indeed...mijitu mingine hovyo Sana...thinking capacity zero...
 
Samia amtumbue wakati naye ni mwanafunzi wa Hayati JPM. Wewe vipi? Chadema na vyama vya upinzani kinachowakosesha kura siku zote ni hoja za kitoto kama hizi. Mna Roho Mbaya sana. Ni Waziri Mkuu, anatumia ndege ya Serikali.
Kuna watu wenye roho mbaya nchi hii kama ccm?! Pumbaf
 
Back
Top Bottom