Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

Ulitaka atumie ndege ya baba yako? Stupid, very stupid indeed...mijitu mingine hovyo Sana...thinking capacity zero...
It is business...chama kimelipia...ukiona hata TBC iko live kwa Mambo ya chama tambua au fahamu kuwa CCM au hata chadema imelipia...
Aidha ukiona Rais anatumia ndege ya ATC tambua kuwa serikali inalipia...
Mpuuzi wewe, onyesha risiti/control no ya malipo
 
Acha kufuru mkuu, mungu kabisa awe na JPM? Masikhara hayo. Punguzeni masikhara

Wewe ndiyo muumba wake JPM? Mbona mnajifanya ujuaji wakati huwezi umba hata ukucha,punguzeni upuuzi enyi key board worriors.
 
Wewe ndiyo muumba wake JPM? Mbona mnajifanya ujuaji wakati huwezi umba hata ukucha,punguzeni upuuzi enyi key board worriors.
Wapuuzi ni nyie mnaesema huyo marehemu yupo na muumba. Hivi nyie wazima kabisa? Labda muumba wa roho mbaya na unafiki ndiye atakuwa naye
 
Haya kipindi cha jiwe twiga hazikuibiwa ,kila kitu kilikuwa shwar , je ulifaidika nini? Uchumi ulishuka toka 6+ mpak 4- na mnasingizia Corona wakat hata lockdown haikuwepo , jiwe alikuwa Raisi wa hovyo Sana kuwahi kutokea ..basi Tu mengine tukae kimya
Uchumi ulishuka 4% kwa Tanzania lakini nchi zingine umeenda hadi asilimia 2% mpaka sasa
 
Back
Top Bottom