Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo amewasili Chato kwenda kumsalimia mama wa hayati rais Magufuli ambaye ni mgonjwa kwa muda mrefu, pia Mh Majaliwa ataenda kuangalia kaburi la Hayati Magufuli na kusalimiana na wanafamilia.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni?
 
Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo amewasili Chato kwenda kumsalimia mama wa hayati rais Magufuli ambaye ni mgonjwa kwa muda mrefu, pia Mh Majaliwa ataenda kuangalia kaburi la Hayati Magufuli na kusalimiana na wanafamilia.

Anaenda kumsalimia Mtu aliye kwenye Life Support Machine ?
Ila huyu Jamaa binafsi nimemdharau sana, tokea aliposema Uongo Msikitini kuwa Jiwe ni Mzima na anachapa Kazi, siwezi kumuamini kabisa.
 
Hivi kwanini ninyi watu mna chuki zilizokithiri dhidi ya hayati JPM?

Waziri mkuu ndiye huwa msimamizi wa mazishi na hifadhi ya viongozi waandamizi na hasa hapo aliyefariki alikuwa Rais wa nchi kwa hiyo mnachokitaka kitu gani wakati tayari adhima yenu mlishaitekeleza?

Hao watu mnaowasimanga na wamekaa kimya kwa sasa ni wa hatari sana wakikasikirika msije mkasingizia ilikuwa ni siasa tu

Lieni na wale wanao lia, farijianeni ninyi kwa ninyi na furahini wote kwa pamoja

Kwani Mazishi bado ?
 
Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Hatujasikia akienda Monduli kuwajulia hali wajane na familia ya Hayati PM Sokoine au wao ni daraja la 9?!
 
Anaenda kumsalimia Mtu aliye kwenye Life Support Machine ?
Ila huyu Jamaa binafsi nimemdharau sana, tokea aliposema Uongo Msikitini kuwa Jiwe ni Mzima na anachapa Kazi, siwezi kumuamini kabisa.
Je aliyesema, rais anawasalimia na anasema tuendelee kuchapa kazi naye yuko upande gani au unamwogopa kumsema kwa sababu ya maslahi?

Ni bora a;lisema ni mzima na anachapa kazi tarehe 12/3/2021-Njombe kuliko aliesema rais anawasalimia, anashukuru kwa kumchagua na ataka tuendelee kuchapa kazi tarehe 14/3/2021-Tanga.

Kifo cha mkuu wa nchi kinapotokea ni sharti usafiri uende hadi mahali tukio lilipotokea kwa kuwa limetokea ghafla na hukuwa na taarifa ya kuugua kwake ili uthibitishe taarifa za wasaidizi wako, pungufu ya hapo alikuwa na taarifa kamili tangu lini alianza kuugua, maendeleo ya hali yake iwe kulikuwa na unafuu au kuzidiwa na akaomba ushauri kutoka kwa wataalamu ya kitu gani kifanyike kuokoa maisha yake.

Malumbano yanayoendelea kwa sasa ni SIASA tu kwa nia ya kuficha hali halisi, lakini kihozi hakijifichi na stafeli likiiva huwezi kuficha harufu yake hata ukichimbia chini ya mchanga

Jifunzeni kutafakari kwa usawa kauli hizi kisha utapata majibu yaliyo sahihi kuliko kumshambulia mtu mmoja kwa sababu ya chuki binafsi na kwa malengo maalumu OVU
 
Majaliwa ameshindwa kwenda kuhani kaburi la ndugu yake Mkapa kule Lupaso naona ameamua kujinafikisha kwa sukumagang. Sijawahi hata kusikia ameenda kusalimia kaburi la Nyerere. Unafiki mbaya sana Ila mama ana kazi.
 
Mbona hata Chadema wanasumbuka pia maana haipiti siku bila kumjadili.
Na hata kauka midomonikwenu na rohoni mapema.
Anajadiliwa kama anavyojadiliwa Hitler ambaye amekufa miongo kadhaa iliyopita.
 
Je aliyesema, rais anawasalimia na anasema tuendelee kuchapa kazi naye yuko upande gani au unamwogopa kumsema kwa sababu ya maslahi?

Ni bora a;lisema ni mzima na anachapa kazi tarehe 12/3/2021-Njombe kuliko aliesema rais anawasalimia, anashukuru kwa kumchagua na ataka tuendelee kuchapa kazi tarehe 14/3/2021-Tanga.

Kifo cha mkuu wa nchi kinapotokea ni sharti usafiri uende hadi mahali tukio lilipotokea kwa kuwa limetokea ghafla na hukuwa na taarifa ya kuugua kwake ili uthibitishe taarifa za wasaidizi wako, pungufu ya hapo alikuwa na taarifa kamili tangu lini alianza kuugua, maendeleo ya hali yake iwe kulikuwa na unafuu au kuzidiwa na akaomba ushauri kutoka kwa wataalamu ya kitu gani kifanyike kuokoa maisha yake.

Malumbano yanayoendelea kwa sasa ni SIASA tu kwa nia ya kuficha hali halisi, lakini kihozi hakijifichi na stafeli likiiva huwezi kuficha harufu yake hata ukichimbia chini ya mchanga

Jifunzeni kutafakari kwa usawa kauli hizi kisha utapata majibu yaliyo sahihi kuliko kumshambulia mtu mmoja kwa sababu ya chuki binafsi na kwa malengo maalumu OVU
Sina Maslahi na Yeyote kati ya hao
Ila at least Mama anaonesha utu, Majaliwa Kakalia Siasa za ki Sadist za Jiwe.
He is the Hopeless PM kuwahi kutokea tangia tupate UHURU
 
Habari .

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote ,leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana?, au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali??

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
 
Uharo huu
 
Majaliwa ameshindwa kwenda kuhani kaburi la ndugu yake Mkapa kule Lupaso naona ameamua kujinafikisha kwa sukumagang. Sijawahi hata kusikia ameenda kusalimia kaburi la Nyerere. Unafiki mbaya sana Ila mama ana kazi.
FITINA, UZANDIKI, CHUKI, UCHOYO, ROHO MBAYA ndio vinakusumbua

Paukwa pa pakawa...........................jiwe lililokataliwa ndio litakuwa jiwe kuu la pembeni kunusuru ukuta wa nyumba kuanguaka
 
Sina Maslahi na Yeyote kati ya hao
Ila at least Mama anaonesha utu, Majaliwa Kakalia Siasa za ki Sadist za Jiwe.
He is the Hopeless PM kuwahi kutokea tangia tupate UHURU
1. Ukiwa Rais ni sharti uwe na sifa za KIONGOZI+MTAWALA=MTENDAJI hapo sheria na mantki ndio hufanya kazi kwa hiyo yupo anayeumizwa na yupo anayepataka nafuu kulingana na utii kutoka kwa MTENDAJI
2. Ukiwa kiongozi pekee, wafuasi wako watafuata uelekeo alioutoa kwa umma kisha kila mtu atafanya alivyoelekezwa ili mradi ni uelekeo huo ila vitendo vya kudhibiti na kukemea ni sifuri
3. Ukiwa MTAWALA pekee, wafuasi wako watazingatia uelekeo, matakwa, na matokeo yatakayompata endapo atakosea ila baadhi wachache wenye kuona wanataka kuwa huru kufanya wanaloliona wao linafaa wataumizwa kutokana na kutozingatia mwelekeo, matakwa na matokeo ya kutozingatia masharti

Utu, Uhuru, haki na Demokrasia viantakiwa visimamiwe na namba 1, vikiangukia kati ya 2 au 3 kuna kundi la watu jeuri, legelege, ubinafsi na wasiowaaminifu watapata madhara kutokana na madhara ya ukaidi au kutokuwa na kiasi

Tanzania mnahitaji njia ipi?
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom