Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Hiyo ni ndege ya Air Tanzania - imekodishwa na ccm, hata wewe kama una pesa unaruhusiwa kuikodi kukupeleka po pote unakotaka. Nyingine leo imekodishwa na serikali kumpeleka rais wetu Kenya.
 
Ulitaka atumie ndege ya nani?
Ya marehemu. Si alikuwa na eapoti yake😂
Hivi kwanini ninyi watu mna chuki zilizokithiri dhidi ya hayati JPM?

Waziri mkuu ndiye huwa msimamizi wa mazishi na hifadhi ya viongozi waandamizi na hasa hapo aliyefariki alikuwa Rais wa nchi kwa hiyo mnachokitaka kitu gani wakati tayari adhima yenu mlishaitekeleza?

Hao watu mnaowasimanga na wamekaa kimya kwa sasa ni wa hatari sana wakikasikirika msije mkasingizia ilikuwa ni siasa tu

Lieni na wale wanao lia, farijianeni ninyi kwa ninyi na furahini wote kwa pamoja

Nongwa za huyo marehemu ndiyo zimesababisha watu wamchukie
 
Huyu Waziri Mkuu anafanya Kampeni ili aje amnyang'ang'anye Samia kiti kwa kisingizio cha Umagufuli

Bogus kabisa
 
Matumaini ya wapenda haki, uhuru, umoja na ulinzi wa raslimali za taifa yamebaki kwako Waziri mkuu Kassim Majaliwa...upande mwingine kuna kiongozi mzoefu NGO tu! Wajanja wameishaanza kumsogeza kwenye bembea, juisi, na selfie huku mlango wa nyuma wanajiandaa kupandisha twiga kwenye ndege zaSaudi Arabian Army!
Mbinu ya yao ni ile ile ya tangu zamani....wanakupepea kwa raha huku!
View attachment 1773467
Haya kipindi cha jiwe twiga hazikuibiwa ,kila kitu kilikuwa shwar , je ulifaidika nini? Uchumi ulishuka toka 6+ mpak 4- na mnasingizia Corona wakat hata lockdown haikuwepo , jiwe alikuwa Raisi wa hovyo Sana kuwahi kutokea ..basi Tu mengine tukae kimya
 
Hiyo ni ndege ya Air Tanzania - imekodishwa na ccm, hata wewe kama una pesa unaruhusiwa kuikodi kukupeleka po pote unakotaka. Nyingine leo imekodishwa na serikali kumpeleka rais wetu Kenya.
Hata wafanyeje, ATCL lazima itashindwa na itafiridikatu......!!
 
SI desturi zao..km ilivyonwwngine wanachoma maiti nk.
Hata km tunaiga haupaswi kuiga vyote ndo tofauti y sisi na wao.
Kuna wengine hata mazishi ya viongozi wao yanaweza kuwa private .
Kuna ambao rais kulala bure ikulu kula ni gharama yako.
Kuna ambao mfalme au malkia hana sauti na wengine mfalme na malkia wana sauti.
Kuna wengine mfalme na rais wanaruhusiwa au kupaswa kuoa rasmi wake wengi au mke mmoj mmoja kila koo na wengine sio rasmi kuwa na wake wengi

..hivi wasukuma hawana mila ya mjane kurithiwa na mmoja wa ndugu wa mume wake?

..kuna makabila ambayo mwanaume akifarika mke au wake zake wanaozwa kwa ndugu wa kiume aliyebaki.
 
Hivi kwanini ninyi watu mna chuki zilizokithiri dhidi ya hayati JPM?

Waziri mkuu ndiye huwa msimamizi wa mazishi na hifadhi ya viongozi waandamizi na hasa hapo aliyefariki alikuwa Rais wa nchi kwa hiyo mnachokitaka kitu gani wakati tayari adhima yenu mlishaitekeleza?

Hao watu mnaowasimanga na wamekaa kimya kwa sasa ni wa hatari sana wakikasikirika msije mkasingizia ilikuwa ni siasa tu

Lieni na wale wanao lia, farijianeni ninyi kwa ninyi na furahini wote kwa pamoja
Tulie na nani? Mbona hamkulia na sisi lisu alipopigwa risasi? Farijianeni wenyewe msitushirikishe sisi! Furahini wenyewe na micorona yenu huko
 
Back
Top Bottom