Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,863
- 93,638
Zipo gereji mkuuHivi zile ndege walizokuwa wanatumia viongozi kabla ya ATCL kununua ndege hizi mpya zimeenda wapi?
Zipo gereji mkuuHivi zile ndege walizokuwa wanatumia viongozi kabla ya ATCL kununua ndege hizi mpya zimeenda wapi?
SawaSina bando mkuu
Nani ka kwambia ni shughuri za chama hizo? Yeye kaenda kama waziri mkuu. Lazima asafirishwe kwa vyombo vya serikali.Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.