Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Chato

Haiwezekani kwenda kqenye kampeini za ccm kigoma akayumia rasilimali za taifa
Siku mkikua mtaacha. ahadi ya serikali wakati wa mazishi ilikuwa kuendelea kumwangalia mama Mzazi wa JPM. Mnataka serikali ifanyaje sasa???
Mkipata dola mtalipiza kisasi
 
Kwa mabaya
Nisawatu, umkumbuke kwa mema ama mabaya yote ni kukumbukatu.

Nyie mkumbukeni kwa mabaya aliyo watendea na wengine watamkumbuka kwa mazuri.
Otherway around, wanao kumbuka mabaya watazeeka haraka maana ni mwendo wa vinyongo tu kila wakisikia jina lake mbaka visukari viwapande.
 
Mkuu umenena vyema. Tuna siasa zisizo na afya hasa kwa upande wa upinzani. Mimi naona namna wanavyoongoza mambo yao haitabadilika kamwe. Chadema na wapinzani wengine jifunzeni kufanya siasa. Muacha utoto.
Nyalandu amewaachia somo kubwa sana
20210504_182920.jpg
 
Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Hizo siyo shughuli za chama! Ujue familia ya rais huhudumiwa na serikali. Kwa hiyo PM yuko kiserikali. Ni mchawi tu anayeweza kujisikia vibaya kuona wagonjwa wanajuliwa hali!
 
Dawa ni tuamue siku moja tukatae kulipa kodi kwa maana fedha zinachezewa tu

Hakuna Magereza ya kutufunga sisi sote.
 
Nisawatu, umkumbuke kwa mema ama mabaya yote ni kukumbukatu.

Nyie mkumbukeni kwa mabaya aliyo watendea na wengine watamkumbuka kwa mazuri.
Otherway around, wanao kumbuka mabaya watazeeka haraka maana ni mwenyo wa vinyongo tu kila wakisikia jina lake mbaka visukari viwapande.
Kufa ni kufa tu
 
Siku mkikua mtaacha. ahadi ya serikali wakati wa mazishi ilikuwa kuendelea kumwangalia mama Mzazi wa JPM. Mnataka serikali ifanyaje sasa???
Mkipata dola mtalipiza kisasi
Visasi alikuwa navyo baba yenu
 
Dawa ni tuamue siku moja tukatae kulipa kodi kwa maana fedha zinachezewa tu

Hakuna Magereza ya kutufunga sisi sote.
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa ccm kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli
 
Back
Top Bottom