Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Watu mapoyoyo kama nyie ndio mnasababisha viongozi wetu wafikiri kila Mtanzania ni poyoyo kama weweCDM kila kitu mna pinga
CDM kwa maneno ya jazba , mbona hamjamboWatu mapoyoyo kama nyie ndio mnasababisha viongozi wetu wafikiri kila Mtanzania ni poyoyo kama wewe
Na inaelekea CCM kila kitu mnadanganya
Wanapinga hadi uchaguzi mkuu umewakuta wanapinga tu, wamechelewa sana!CDM kila kitu mna pinga
Tuambie tu unaona aibu (kama unayo) kwamba viongozi wenu CCM wana silka ya kusema uongo kila wakati. Ukibishana na hili la Majaliwa basi wewe mwendawazimu, facts ziko wazi. Waziri Mkuu anapaswa kukiri hadhari kwamba "amenukuliwa vibaya"CDM kwa maneno ya jazba , mbona hamjambo
Tuambie tu unaona aibu (kama unayo) kwamba viongozi wenu CCM wana silka ya kusema uongo kila wakati. Ukibishana na hili la Majariwa basi wewe mwendawazimu, facts ziko wazi. Waziri Mkuu anapaswa kukiri hadhari kwamba "amenukuliwa vibaya"
Acha uvivu, soma link. Wewe unaona kabisa source ambayo ina habari ya leo halafu unakuja na maswali asiyo na kichwa hapa. Soma hizo links ujiridhishe. Au hujui maana ya source unafikiri ni souce ya chips mayai?Rudi hapo kwenye mada na utuambie alisema inaongoza kwa usambazaji afrika kwa vigezo na wakati gani?
Je ni kwa mwaka, kwa miaka mitano au kwa kipindi cha awamu ya tano?
Je anazungumzia mradi wa kusambaza umeme vijinini? Au anazungumzia usambazaji kwa ujumla wake?
Hao South Africa na 90+ % yao je ni kwa muhula upi? Ni kwa eneo gani nk.
Wasalaam
Kwa hiyo kuwa na shukurani kwa REA ni pale ambapo uongo ukisemwa juu yao kila mtu ashangilie?sijali kuhusu takwimu, najali hasa kilichofanyika uko mavijijini (REA) , umeme kama wote
processing mills zilizokua zinatumia Diesel sasa zinatumia umeme kupunguza gharama za uendeshaji,
unataka ufanyiwe nini hasa wewe mtanzania usiekua na shukrani ?
Labda kwa kumsaidia zaidi Waziri Mkuu, viwango vya electrification vya nchi za Sub-Sahara Afrika ambavyo vinaizidi hiyo 80% ya Tanzania ni kama ifuatavyo;
Cabo Verde 93%
Comoros 81%
Gabon 93%
Ghana 82.3%
Mauritius 98%
Seychelles 100%
South Africa 91.2%
World Bank Source: Access to electricity (% of population) - Sub-Saharan Africa | Data
Na nyie kila kitu mnakubali mpaka kupumuliwa kisogoni kwenu ruksaWatu mapoyoyo kama nyie ndio mnasababisha viongozi wetu wafikiri kila Mtanzania ni poyoyo kama wewe
Na inaelekea CCM kila kitu mnadanganya, sio matokeo ya uchaguzi tu
Propaganda tu hizoSiamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila kujitambua.
Mtu yeyote mwenye akili na busara, kabla ya kutoa kauli kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme atataka kujiridhisha juu ya viwango vya kusambaza umeme vya nchi kama South Afrika, Botswana, Morocco, Egypt, ili usije ukatoa kauli ambayo watu wenye uelewa watakubeza.
South Africa hadi sasa kiwango cha kusambaza umeme nchini ni asilimia 91.2%. Misri na Morocco wao wanadai kiwango chao cha kusambaza umeme ni 100%. Mauritius wana kiwango cha 98%, Ghana wana 83%. Sasa labda Waziri Mkuu atueleze inakuwaje 80% ya Tanzania ni kubwa kuliko 91.2% ya Afrika Kusini, 83% ya Ghana, 98% ya Mauritius, au 100% ya Misri na Morocco?
Si mara ya kwanza kuona viongozi wetu wakitumia takwimu zisizo za kweli ili kuisifia Tanzania. Kuna wakati kiongozi mmoja alitamba kwamba SGR yetu itakuwa na treni ya kasi ya juu zaidi katika Afrika kwa spidi ya 150-170kmhr, wakati Morocco tayari wana treni zenye spidi zaidi ya hiyo.
Ni vema kuisifia nchi yetu, lakini acha tuisifie nchi yetu kutokana na takwimu za kweli badala ya propaganda za kisiasa.
Chanzo: PM: Tanzania ya kwanza Afrika kusambaza umeme
Cape Verde or Cabo Verde, officially the Republic of Cabo Verde, is an island country in the central Atlantic Ocean.Hii nchi iko wapi mlamu!
Ahhahhah,eti source ya chips mayaiAcha uvivu, soma link. Wewe unaona kabisa source ambayo ina habari ya leo halafu unakuja na maswali asiyo na kichwa hapa. Soma hizo links ujiridhishe. Au hujui maana ya source unafikiri ni souce ya chips mayai?