Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
- Thread starter
- #81
Yaani haki ya kikatiba ya raia ya kuquestion utendaji pamoja na mienendo ya Serikali unaiita ni threat against government?WTF!!Kwani kuna mtu ametishia kuipindua serikali au kuua viongozi wa serikali au kuipiga serikali mabomu?
Akili za wapi hizi?Kuonyesha ujinga hadharini siku hizi imekuwa ni fashion?Kama unajijua kuwa huna kitu kichwani si ukae kimya kuficha ujinga wako?
Like any other nyumbu, you’re inconsequential; just a decorated keyboard warrior!