Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

Yaani haki ya kikatiba ya raia ya kuquestion utendaji pamoja na mienendo ya Serikali unaiita ni threat against government?WTF!!Kwani kuna mtu ametishia kuipindua serikali au kuua viongozi wa serikali au kuipiga serikali mabomu?

Akili za wapi hizi?Kuonyesha ujinga hadharini siku hizi imekuwa ni fashion?Kama unajijua kuwa huna kitu kichwani si ukae kimya kuficha ujinga wako?

Like any other nyumbu, you’re inconsequential; just a decorated keyboard warrior!
 
Like any other nyumbu, you’re inconsequential; just a decorated keyboard warrior!
Wewe kwenye uzi wako umeiomba serikali itimize wajibu wake.Wajibu wa raia ni kuiomba serikali itimiza wajibu wake au ni kuenforce serikali kutimiza wajibu wake?
 
Wewe kwenye uzi wako umeiomba serikali itimize wajibu wake.Wajibu wa raia ni kuiomba serikali itimiza wajibu wake au ni kuenforce serikali kutimiza wajibu wake?

Ubabe mpaka sasa umekuleteeni mafinikio gani? Ndiyo kwanza Chama Cha Demokrasia ya Matusi kinapumulia machine. Kimsingi, hakitofautiani sana na chama cha Dr. Rungwe!
 
Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui mipaka ya kazi zao.

Ofisi ya DPP ipo kikatiba na ni ofisi ambayo inapaswa kufanya kazi zake bila kushinikizwa na kinyamkera yeyote yule. Charging decision ni prosecutorial discretion ya DPP. Akijiridhisha kwamba kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa, DPP atapeleka kesi mahakamani. Vinginevyo hapeleki. Hapapaswi kuwa na mtu yeyote wa kumuagiza kufanya hiki au kutokufanya kile. Not even the President.

Wanasiasa, tafadhali sana fahamuni mipaka ya authorities zenu. Mnatia aibu
Ofisi na DPP haina tofauti na mashina mengine ya CCM
 
Ubabe mpaka sasa umekuleteeni mafinikio gani? Ndiyo kwanza Chama Cha Demokrasia ya Matusi kinapumulia machine. Kimsingi, hakitofautiani sana na chama cha Dr. Rungwe!
Huu siyo ubabe?👇
7654311.png

Haya siyo matusi?👇
5tfvce11.png
 
Hata rais hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya kisiasa ya vyama vya siasa.

Except kwenye cases za state of emergency na public safety. Ndipo anapoweza kutumia mamlaka yake kususpend some constitutional rights
Bado tuna safari ndefu sn
 
Kabla ya kuniuliza mimi kuwa ubabe mpaka sasa umetuletea mafanikio gani umejiuliza kwanza wewe mwenyewe kuwa ubabe mpaka sasa umewaletea mafanikio gani?

Wewe pamoja na kujinasibu kwa ubabe wa kutokuwaomba viongozi wa Serikali huna tena success stories za kulieleza jukwaa hili?
 
Wewe pamoja na kujinasibu kwa ubabe wa kutokuwaomba viongozi wa Serikali huna tena success stories za kulieleza jukwaa hili?
Success story nyingine niliyo nayo ni kwamba kwa mujibu wa waziri mkuu dalili zinaonyesha kuwa Tanzania kuingia kwenye uchumi wa kati ule wa juu kabisa🐒🐒🐒
109_20210706_190119.jpg
 
Success story nyingine niliyo nayo ni kwamba kwa mujibu wa waziri mkuu dalili zinaonyesha kuwa Tanzania kuingia kwenye uchumi wa kati ule wa juu kabisa
View attachment 1899401

Mkiambiwa ubabe wenu hauna tija mnashupaza shingo. Matokeo yake mmefutika kwenye political map na kuishia kuanza harakati za kigaidi, which is the highest degree of political bankruptcy!
 
Nadhani hii ndiyo manifestation yenyewe ya unyumbu! Mtu unaulizwa, ubabe wako umekuletea mafanikio gani? Wewe umekazana kusema, hata fulani ni mbabe. Je, fulani naye kuwa mbabe ndiyo mafanikio uliyoyapata kutokana na ubabe wako?
Hapo juu nilikuuliza kuwa Kabla ya kuniuliza mimi kuwa ubabe wetu mpaka sasa umetuletea mafanikio gani, umejiuliza kwanza wewe mwenyewe kuwa ubabe wenu mpaka sasa umewaletea mafanikio gani?Ulijibu swali hili?

Unaelewa kuwa huna moral authority ya kunichunguza au kuquestion uchafu wangu ambao wewe unao pia unless umeanza kujichunguza na kujiquestion wewe kwanza?
 
Ndomana, katiba mpya inahitajika, ili tuweze kuwawajibisha wasio jitambua kama hawa
 
Hapo juu nilikuuliza kuwa Kabla ya kuniuliza mimi kuwa ubabe wetu mpaka sasa umetuletea mafanikio gani, umejiuliza kwanza wewe mwenyewe kuwa ubabe wenu mpaka sasa umewaletea mafanikio gani?Ulijibu swali hili?

Unaelewa kuwa huna moral authority ya kunichunguza au kuquestion uchafu wangu ambao wewe unao pia unless umeanza kujichunguza na kujiquestion wewe kwanza?

Nakuuliza juu ya ubabe wako. Ubabe wetu kina nani? Hata mimi ambaye umeshanilaumu kwa diplomatic style yangu ni mbabe?
 
Andiko langu la pili kabla ya hili nilikuuliza specifically kuhusu ubabe wako, lakini ulichofanya ni kuniletea picha ya Samia (sijui ikusaidiaje)!
Sasa ulipoleta andiko specifically juu ubabe wangu binafsi kwani tulikuwa tumeshamalizana na ubabe unaohusu vyama vyetu ambao ndiyo tulianza nao?

Tumalizane kwanza na ubabe juu ya vyama vyetu kama tulivyoanza navyo then twende level ya individuals.Siyo busara kurukaruka!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom