Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

Acha upuuzi wa kuwadharau watu usiowajua wewe tambala la deki,huu Uzi unashida gani?? Mbona hii platform imejaa matahira wengi Sana?! Kuna haja gani ya kuchangia kila thread tena kwa kuwadharau wenzenu??
Nimemdharau nani?Unaelewa tofauti kati ya kudharau na kusema fact?Mimi shida yangu na mleta uzi ni kwa nini ashangae kitu ambacho ni kawaida Tanzania na ambacho kinajulikana kuwa ni utamaduni wa Serikali?Hii siyo akili ndogo?Unataka niite kuwa ni akili kubwa?
 
Makonda alimdindia Waziri mkuu na Majaliwa cha kumfanya akashindwa.
Kwa sababu aliekuwa boss wa waziri mkuu; alikuwa ndio mtu anaemlinda makonda pia.

Kama nilivyoandika ni raisi tu ndio anaweza vunja amri ya waziri mkuu; na Makonda alikuwa akiringa sababu ya special relation yake na raisi.
 
Unauelewa kidogo wa katiba na utawala?
Basi wewe utakuwa hauna kabisa.

Kwanza kasome ‘executive branch of government’ ni kitu gani. Halafu angalia katiba imetafsiri vipi majukumu ya waziri mkuu (ibara ya 52 kama sijakosea) na mawaziri (ibara ya 58) ni raisi tu ndio anaweza tengua maamuzi ya hao watu.

Ndio maana ya kusema serikali kuu ni raisi na baraza lake la mawaziri, hawa ndio watu pekee wenye mandate ya kuendesha nchi kwa ridhaa ya watanzania (that’s why we go to elections kutoa hiyo ridhaa).

Hakuna civil servant aliye juu ya mtu yeyote kutoka ‘executive branch’ na mawaziri wote wanafanya kazi kwa niaba ya raisi moja kwa moja.

Someni basi na vitabu vya siasa hata vya A’level kupata foundation ya discipline yenyewe kwanza kabla amjarukia kutafsiri katiba.
 
Basi wewe utakuwa hauna kabisa.

Kwanza kasome ‘executive branch of government’ ni kitu gani. Halafu angalia katiba imetafsiri vipi majukumu ya waziri mkuu na mawaziri.

Serikali kuu ni raisi na baraza lake la mawaziri (hawa ndio watu pekee wenye mandate ya kuendesha nchi) hakuna civil servant aliye juu ya mtu yeyote kutoka ‘executive branch’ na mawaziri wote wanafanya kazi kwa niaba ya raisi moja kwa moja.
Kwa majibu yako hayo je waziri mkuu ana mamlaka ya kumwamrisha DPP?
 
Bila ya Shaka yoyote; nimeshakwambia ni boss wake.

Wewe unadhani kwanini awezi?
Boss wa DPP ni rais ambaye naye mamlaka yake juu ya DPP yako limited kwenye appointment na firing tu pale inapotokea kaenda kinyume na taratibu na procedure za kumuondoa DPP ni ngumu kuliko hata za kumuondoa waziri Mkuu.
 
Dah ofisi ya mwendesha mashtaka ya serikali nadhani ipo chini ya wizara ya sheria na DPP ni civil servant.

So kwakuwa ni department ya wizara boss wa DPP ni katibu mkuu wa wizara, katibu mkuu Kiongozi, waziri husika wa wizara, waziri mkuu na raisi.

Hiyo ndio chain of command yake, mkuu soma kwanza kitabu cha siasa kabla hatuja discuss siasa vitu basic tu bado kuvi-grasp.
 
Dah ofisi ya mwendesha mashtaka ya serikali nadhani ipo chini ya wizara ya sheria na DPP ni civil servant.

So kwakuwa ni department ya wizara boss wa DPP ni katibu mkuu wa wizara, katibu mkuu Kiongozi, waziri husika, waziri mkuu na raisi.

Hiyo ndio chain of command yake.
No DPP ni creature wa sheria hivyo ni independent institution.
 
Dah ofisi ya mwendesha mashtaka ya serikali nadhani ipo chini ya wizara ya sheria na DPP ni civil servant.

So kwakuwa ni department ya wizara boss wa DPP ni katibu mkuu wa wizara, katibu mkuu Kiongozi, waziri husika wa wizara, waziri mkuu na raisi.

Hiyo ndio chain of command yake, mkuu soma kwanza kitabu cha siasa kabla hatuja discuss siasa vitu basic tu bado kuvi-grasp.
Hata Disciplinary authority ya DPP siyo huyo katibu wake wa Wizara.
 
Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui mipaka ya kazi zao.

Ofisi ya DPP ipo kikatiba na ni ofisi ambayo inapaswa kufanya kazi zake bila kushinikizwa na kinyamkera yeyote yule. Charging decision ni prosecutorial discretion ya DPP. Akijiridhisha kwamba kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa, DPP atapeleka kesi mahakamani. Vinginevyo hapeleki. Hapapaswi kuwa na mtu yeyote wa kumuagiza kufanya hiki au kutokufanya kile. Not even the President.

Wanasiasa, tafadhali sana fahamuni mipaka ya authorities zenu. Mnatia aibu

unashangaa PM kutoa maelekezo hayo mkuu unaishi Tz kweli?? matamko kama hayo huwa yanatolewa hadi na mwenyekiti wa uvccm hii nchi inefika pabaya ndio mana tunataka katiba mpya
 
Hata Disciplinary authority ya DPP siyo huyo katibu wake wa Wizara.
Unapoangalia ‘organisation chart’ kila position iliyo juu ya mtu fulani basi elewa muhusika anawajibika kwa wajuu yake.

Na hata kwenye katiba, katibu mkuu ndio mtendaji mkuu wa wizara na taasisi zake so ofisi ya DPP kwenye structure ya wizara aiwezi kuwa juu ya nafasi ya katibu mkuu.
 
Ndiyo maana nilianza kwa kukuuliza kama unaelewa kidogo wa sheria na utawala.
 
Ndiyo maana nilianza kwa kukuuliza kama unaelewa kidogo wa sheria na utawala.
Na ndio maana nikakwambia pitia kwanza vitabu vya siasa.

Kwanini nimekwambia ivyo bado swala la serikali ni nini linakupiga chenga.

Sasa wewe unataka tuzungumze calculus, wakati hesabu za geometry bado.

Anyway jioni njema.
 
Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui mipaka ya kazi zao.

Ofisi ya DPP ipo kikatiba na ni ofisi ambayo inapaswa kufanya kazi zake bila kushinikizwa na kinyamkera yeyote yule. Charging decision ni prosecutorial discretion ya DPP. Akijiridhisha kwamba kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa, DPP atapeleka kesi mahakamani. Vinginevyo hapeleki. Hapapaswi kuwa na mtu yeyote wa kumuagiza kufanya hiki au kutokufanya kile. Not even the President.

Wanasiasa, tafadhali sana fahamuni mipaka ya authorities zenu. Mnatia aibu
Katiba ya Tanzania haiheshimiwi hasa tangia awamu ya tano ambayo amewapa immunity all top guys.
 
Na ndio maana nikakwambia pitia kwanza vitabu vya siasa.

Kwanini nimekwambia ivyo bado swala la serikali ni nini linakupiga chenga.

Sasa wewe unataka tuzungumze calculus, wakati hesabu za geometry bado.

Anyway jioni njema.
Mimi napita sheria maana ndiyo mwongozo na siyo vitabu vya siasa.

Unachokisema wewe ni sawa na kusema Gavana wa BOT boss wake ni katibu mkuu wa wizara ya fedha.
 
Back
Top Bottom