asfdseZ2
Naipenda Dar!
Naipenda Dar!
Mkuu kuhamia dodoma sio swala wala faida ya mtu binafsi....ficha basi chuki zakoDodoma ni marehemu hafufuki hata mumpake mafuta ya karsma.
Majumba mengi ya taasisi yapo Dar with high property values. Rudisha vitu Dar achana na maiti Dodoma.
Na kuwadanganya kote juu ya hali ya marehemu bado watamwamini!
pu3edeferred essiku recorded rods sexNaipenda Dar!
Magofu yaja
Dodoma ni marehemu hafufuki hata mumpake mafuta ya karsma.
Majumba mengi ya taasisi yapo Dar with high property values. Rudisha vitu Dar achana na maiti Dodoma.
Mkuu huwa siwaelewi hawa watu...KWA sehemu wanasiasa huwa waongo...ola yuapaswa kureson na kurethink why this lies at this situation...mimi naona chuki binafsi tu...wanajificha juu ya hilo swala ambalo pm yeyote angelisemaIlisha tokea hio na ndio waziri mwachhe afny kaziii
Mkuu kuhamia dodoma sio swala wala faida ya mtu binafsi....ficha basi chuki zako
Kila kiti kina wakati wake mzee!With limited resources lakini tunaingia kwenye uwekezaji wa mji mkuu kwa kujenga majengo ya ofisi wakati tayari yapo Dar. Kauli ilitolewa na ikatekelezwa pasipo analysis. Pesa hiyo ingetumika kwa ajili ya vitu vingine ambavyo bado ni tatizo kama shule, vituo vya afya, maji, umeme, barabara nk. Mpaka kuufanya mji uwe kamili na huduma zke ni matrillion ya pesa yatahitajika. Maskini mama Tanzania!!!!
Bado Mkurugenzi wa TPDC ofisi yake iko Dar hadi sasa.
Kwani mji mkuu ukiwa Dodoma ndio watu hawaendi mikoa mingine mbona kawaida tu. Hata USA wako sana huko NY na California lakini mji mkuu ni Washindton DCYeye mwenyewe muda mwingi yupo Dar
Dodoma ni marehemu hafufuki hata mumpake mafuta ya karsma.
Majumba mengi ya taasisi yapo Dar with high property values. Rudisha vitu Dar achana na maiti Dodoma.
Mkuu kuhamia dodoma sio swala wala faida ya mtu binafsi....ficha basi chuki zako
Hawa watu wanataka tumuenzi JPM na hili enzini pia maana ndio Legacy yake kaiacha. Dar jiji la kibishara sehemu yake Dodoma makao makuu shughuli za kiserikali mambo mazuri tu.Mkuu kuhamia dodoma sio swala wala faida ya mtu binafsi....ficha basi chuki zako
Mpumbavuu wewe
Na wewe ni M-TPDC nini.....!!!?Bado Mkurugenzi wa TPDC ofisi yake iko Dar hadi sasa.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi hautoendelea.
Akiwa Bungeni Dodoma, "Serikali imeweka mfumo mzuri wa kuhakikisha Makao Makuu ya Nchi yanaendelezwa kwa kujenga na kuendelea na mipango ya maendeleo ya Jiji la Dodoma".
Ameongeza, "Watumishi wapo Dodoma, shughuli zote za Serikali zinafanywa, ujenzi wa miundombinu mbalimbali unaendelea. Niwahakikishie Watanzania Dodoma inaendelea vizuri".