Waziri Mkuu: Dodoma itaendelea kuwa Makao Makuu ya Nchi. Ujenzi utaendelea

Acha zambi mkuu... Hii sentesi achana na maiti dodoma unaanisha nini?
Dodoma ni marehemu hafufuki hata mumpake mafuta ya karsma.
Majumba mengi ya taasisi yapo Dar with high property values. Rudisha vitu Dar achana na maiti Dodoma.
 
With limited resources lakini tunaingia kwenye uwekezaji wa mji mkuu kwa kujenga majengo ya ofisi wakati tayari yapo Dar. Kauli ilitolewa na ikatekelezwa pasipo analysis. Pesa hiyo ingetumika kwa ajili ya vitu vingine ambavyo bado ni tatizo kama shule, vituo vya afya, maji, umeme, barabara nk. Mpaka kuufanya mji uwe kamili na huduma zke ni matrillion ya pesa yatahitajika. Maskini mama Tanzania!!!!
 
Ilisha tokea hio na ndio waziri mwachhe afny kaziii
Mkuu huwa siwaelewi hawa watu...KWA sehemu wanasiasa huwa waongo...ola yuapaswa kureson na kurethink why this lies at this situation...mimi naona chuki binafsi tu...wanajificha juu ya hilo swala ambalo pm yeyote angelisema
 
Mkuu kuhamia dodoma sio swala wala faida ya mtu binafsi....ficha basi chuki zako

Sio chuki mkuu ni fact. Kuhamia Dodoma kumeharibu majengo na plans nyingi sio za watu binafsi tu hata serikali naangalia majengo tu. Kuongoza Sasa hivi ni ict sio spatial location.
Miaka ile niliwaambia udsm acheni kujenga library ya billions nunueni server na muwekezi kwenye access to library. Leo wanalalamika eti wanafunzi hawaingii mchina library ya more than 20 billion.
Tumelogwa.
 
With limited resources lakini tunaingia kwenye uwekezaji wa mji mkuu kwa kujenga majengo ya ofisi wakati tayari yapo Dar. Kauli ilitolewa na ikatekelezwa pasipo analysis. Pesa hiyo ingetumika kwa ajili ya vitu vingine ambavyo bado ni tatizo kama shule, vituo vya afya, maji, umeme, barabara nk. Mpaka kuufanya mji uwe kamili na huduma zke ni matrillion ya pesa yatahitajika. Maskini mama Tanzania!!!!
Kila kiti kina wakati wake mzee!
 
Kwa ule mjengo wake wa kipekee uliopo pale Mlimwa C juu ya kile kilima lazima atamani kubaki Dodoma
 
Hiyo ndiyo kauli thabiti ya kiongozi wa nchi
Siyo kulegeza macho au kulemba maneno
Dodoma ndiyo makao makuu.
 
Mh PM MKM, uraisi hutoupata, ukimaliza muda, mwendazake alishakuambia hutokuwa rais wa nchi hii. POLE!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
huyu anaweza kubaki dar hata wa bandari kwakuwa shughuli zao ziko zaidi huko!
watendaji wa mashirika wanaweza kubaki dar wakahama taratibu ila shughuli za serikali waje tu! kazi inaendelea
Bado Mkurugenzi wa TPDC ofisi yake iko Dar hadi sasa.
 
Mkuu kuhamia dodoma sio swala wala faida ya mtu binafsi....ficha basi chuki zako
Hawa watu wanataka tumuenzi JPM na hili enzini pia maana ndio Legacy yake kaiacha. Dar jiji la kibishara sehemu yake Dodoma makao makuu shughuli za kiserikali mambo mazuri tu.
 
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi hautoendelea.

Akiwa Bungeni Dodoma, "Serikali imeweka mfumo mzuri wa kuhakikisha Makao Makuu ya Nchi yanaendelezwa kwa kujenga na kuendelea na mipango ya maendeleo ya Jiji la Dodoma".

Ameongeza, "Watumishi wapo Dodoma, shughuli zote za Serikali zinafanywa, ujenzi wa miundombinu mbalimbali unaendelea. Niwahakikishie Watanzania Dodoma inaendelea vizuri".


Swala la Dodoma ,haliepukiki, so hata ungekuja utawala wa aina upi so far lilishakua lazima liwe hivyo,KWA maana ni mpango wa tz Kama taifa KUFANYA hivyo TOKA miaka mingi, ila chato NDO sijui maana mwendazake alielekeza miradi mingi huko na sijui ilikua inatoka katika mpango mkakati upi wa taifa, mingine ambayo ilisha kwisha wekezwa pesa itabidi kumaliziwa, ile tu yenye tija labda KWA nyingine tuhache yabaki maghofu hamna namna nyingine
 
Pamekuwepo Maelezo mengi sana kwamba serikali itaendelea kuwepo Dodoma na kamwe haitarejea Dar es salaam.

Kwani kuna anayetamani serikali ihamie Dar es salaam yalipo makao makuu ya Chadema?

Ramadhan Kareem!
 
Back
Top Bottom