Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,017
- 9,885
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi
Aidha amesema baadhi ya wafanya biashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya kuwatembelea kwa kuwa nchi zinataka watu waliochanja
Kwasababu hiyo nchi imeleta chanjo kila mwenye uhitaji aweze kuchoma ili kupata huduma nje ya nchi ikiwemo kuhiji