Waziri Mkuu amelidanganya bunge na watanzania wote

Hivi ni nani kwenye serikali hii anasema ukweli?

Jambo moja nimekuwa nalisema hapa janvini mara kwa mara. viongozi wa serikali na ccm hawajui kama teknolojia ya habari imewaacha mbali. wanadhani mtu wa serikali ndiye pekee mwenye kufanya watu wajue jambo. wanasahau kwamba jambo linapotokea, watu wanatumia SMS, email, blogu, radio, na mambo mengine kupeana taarifa. statement ya serikali huja baada ya watu kujua nini kilitokea na ukweli wake.

hivi wanavyochakachua habari ilikuwa rahisi wakati ule wa chama kushika atamu na kudumisha fikra sahihi za viongozi wa siasa. wakati ambao RTD ilikuwa ndiyo chanzo pekee cha habari tanzania na kwamba kilikuwa kinamilikiwa na kuendeshwa na serikali. hivyos serikali ikishasema kupita radio yao basi ndio watu wanapata kujua.

wanajiabisha, they need to wake up. wananchi hatusubiri Pinda aje kutoa taarifa bungeni ndio tujue nini kilitokea kwenye uchaguzi wa meya arusha, wala maandamano ya tarehe tano januari.
 
Asante kwa taarifa, inatia uchungu sana. Hivi hawa viongozi wa serikali why wanapenda kupewa taarifa tu bila wao kujidhihirisha, ndio maana always wameishia kupotoshwa tu kwa taarifa za kuwekewa mdomoni mpaka kusaidiwa kumeza na kuishia kusema uongo. Pinda you have gone beyond, nakukumbusha pia, Watanzania wa juzi si wa leo.
 
Hv kuomba mwongozo ndio kutenda tayari?Lema,aliomba muongozo na si kwamba alisema pinda kadanganya!Huyu mama nahc hatendi haki,bunge linapelekwa kidikteta mbayaaa!!!PINDA kadanganya ndio,naunga mkono hoja!
 
Materesa,wat we kol as brnchs of gvt,jdcry,exctv na prlmnt c brnchs,t's ol god damn GVMNT....
 
Sio dikteta, ila hana maamuzi ya busara, hajiamini na amejaa jazba tu. Nawaonea sana huruma waTz wenzangu wanaotegemea wanasiasa wawaletee maendeleo. Huyu mama amewekwa na watu na inaonekana amepewa kiapo cha kuwatii hao mafisadi waliomuweka ndio maana ana react ktk kila hoja badala ya kutumia busara.
 
Alipewa uspika kwa kazi hiyo, lakini roho mbaya yake kama sura yake vitamfikisha pabaya.
 
Si Dictator ila ukweli ni kwamba haelewi vitu vingi tu - wabunge wanamzidi upeo hata kuzielewa hizo kanuni zenyewe za bunge. kazi aliyopewa itamzidia mama wa watu.

MA-DICTATOR huwa wana akili na wanajua wanachotakiwa kufanya lakini kwa makusudi mazima wanapindisha maamuzi tena kwa ubabe - sasa mama yetu hayupo hivyo.
 
Back
Top Bottom