Waziri Mkulo na matusi kwa mtangazaji wa redio

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,776
1,877
Waziri aliyepewa dhamana na rais kupitia kwa wananchi wa jimbo la kilosa alimtukana mtangazaji wa wako redio wakati alimpomhoji maswala ya DECI. Alimtukana stupid na shenzi live redioni wakati anasikilizwa na watanzania wote.

Huyo ndiye Waziri wa Fedha, nani kampa jeuri hiyo?

Historia inaonyesha kuwa ndio kiburi yake hasa anapokuwa na madaraka. Wafanyakazi waliofanya nae kazi kote alikopita wanasema ndo hulka yake na kiburi

Je nani kampa hiyo jeuri ya kutukana!?

Ni rais au pesa?
 
Sasa mkuu ushasema ni hulka yake na wote walio fanya nae kazi wanasema ana kiburi halafu unauliza kama raisi ndiyo kampa mbona unajikanyaga hapo? Huyo raisi alikuwa bosi wake sehemu hizo zote zingine? Na umesha jijibu kuwa ndiyo hulka yake sasa mtu uta pewaje hulka?
 
Ni hulka tu na ulimbukeni wa madaraka. Sasa anadhani atabakia mtawala milele?!

Hawa ndio wale ambbao hawakuwahi kufikiria watakuja kuwa viongozi hata wa shule ya msingi.

Nafikiri alistahili kuadhibiwa na baraza la maadili kwa watu wa nyadhifa kama yake (kama lipo) hawezi kumwita mtanzania mwenzie stupidy na kumwambia shenzi kisa kuuliza habari za Deci wakati wa budget!
 
Anaweza kushitakiwa na kulipa fidia kwa kumdhalilisha mtangazaji akiwa kazini kama vile yeye akiwa pale wizarani halafu aje mtu amuulize kitu amtukane......anastahili kupelekwa mahakamani akalipe fidia ...................kwa kudhalilisha..tena kwa umma....sijui mnawatoa wapi watu kama hawa....ambao hawajui..............hata nini maana ya madaraka
 
Tulisema huyu Mkulo ni firauni aliyezoea kutongoza vitoto vya shule za sekondari, vitoto sawa na wanawe, sasa mtu asiye na integrity katika hilo unaweza kutegemea awe na simile katika kutukana waandishi wa habari?

I am surprised mpaka leo hajafumuka na scandal ya personal character ya hatari zaidi.
 
Yule Mkulo ni kielelezo cha viongozi wetu wasiokuwa na akili! Nilisikia pia kuwa alifanya upuuzi huo....lakini asichojua nikuwa yeye katika watu wa maana ni takataka tu hana kitu! Tungekuwa na Rais bora kazi aliyonayo asingestahili, ni maranyingi ametuo kauli zinzambainisha Ujinga wake! na kukosa kwake akili.
Kama nilivyowahi kusema kuwa "mpumbavu akienda shule, anakuwa mpumbavu zaidi!"
 
ulimbukeni wa madaraka.
Hawa ndio wale ambbao hawakuwahi kufikiria watakuja kuwa viongozi hata wa shule ya msingi.
Apparently Huyu ni mmoja wa watu wachache wanaozaliwa na kijiko cha fedha midomoni mwao.Huyu amebahatika kuwa sehemu nzuri tokea aanze kazi na mwishoni baada ya kustaafu akabahatika kurudi tena uwanjani kikubwa - uwaziri.

Ni bahati mbaya sana kama ameweza kutukana maana nimjuavyo ni mtu pleasant mwenye kutabasamu wakati wote.

Hili la DECI nadhani linamshtua ukiangalia kasheshe iliyotokana na sakata hili na hata yeye kidogo auingie mkenge kuizundua jimboni mwake huko Kilosa. Huyo mtangazaji kumuuliza kuhusu DECI ni kama kuongeza chumvi kwenye kidonda.
 
Tulisema huyu Mkulo ni firauni aliyezoea kutongoza vitoto vya shule za sekondari, vitoto sawa na wanawe, sasa mtu asiye na integrity katika hilo unaweza kutegemea awe na simile katika kutukana waandishi wa habari?

I am surprised mpaka leo hajafumuka na scandal ya personal character ya hatari zaidi.

Kama unautaalamu wa kuangalia sura ya mtu na kujua ni wa namna gani... Hebu angalia mashavu na ndevu za Bwana huyu Mkulo, zinaashiria kuwa ni "mjinga, mjinga anekaribia upumbavu!!" nakwambia, waulize wataalam kuhusu ndevu zile na mashavu!
 
I still dont get it
MKULO AMETUKANA?????

Mnasubiri nini sasa? Wanajamii inabidi tukamshtaki kwa kudhalilisha cheo cha uwaziri halafu personal yake itajiumba humohumo.

anyway inaonesha hata kwenye vikao vya baraza la mawaziri anatumialugha aipendayo sana......
 
bwahahahahahaha
hehehehehe
you made my evening mkuu...

kumbe mijidevu na mishavu kama ileinaashiria taathira ya akili kimaadili!!!! hahahahahaha

Itabidi nimwangalie seif kwa makini zaidi......
 
I still dont get it
MKULO AMETUKANA?????

Mnasubiri nini sasa? Wanajamii inabidi tukamshtaki kwa kudhalilisha cheo cha uwaziri halafu personal yake itajiumba humohumo.

anyway inaonesha hata kwenye vikao vya baraza la mawaziri anatumialugha aipendayo sana......

Wow wow wow....taratibu jamani. Yeye siyo mtakatifu na si kiongozi wa kwanza kutumia lugha chafu.
 
kama unautaalamu wa kuangalia sura ya mtu na kujua ni wa namna gani... Hebu angalia mashavu na ndevu za bwana huyu mkulo, zinaashiria kuwa ni "mjinga, mjinga anekaribia upumbavu!!" nakwambia, waulize wataalam kuhusu ndevu zile na mashavu!

looooooolllllllllllllll lmao
 
Wow wow wow....taratibu jamani. Yeye siyo mtakatifu na si kiongozi wa kwanza kutumia lugha chafu.
nakubali mkuu
ila live kwenye broadcasting ni uadilifu negative kwa kiwango cha kutisha. Tunajua wanatelezesha ndimi zao hata kwenye press briefings lakini si live kama huyu mijidevu+mashavu ya hovyo mzee wa kuchekacheka.

No wonder familia yake ipo proud kwamba ina baba mwadilifu
 
Inaelekea anatabia ya kujiona na kujikweza ili kutambulika.Mwaka jana nimekuta Business Card yake duka moja Washington ambamo mnauzwa suti ghali sana(non crease suits).Mwenye duka alikuwa akiiflash kwa mtu yeyote toka Afika!!!
 
Kama unautaalamu wa kuangalia sura ya mtu na kujua ni wa namna gani... Hebu angalia mashavu na ndevu za Bwana huyu Mkulo, zinaashiria kuwa ni "mjinga, mjinga anekaribia upumbavu!!" nakwambia, waulize wataalam kuhusu ndevu zile na mashavu!
MM,

You nearly broke my ribs today......nimecheka karibia nife kwa comment yako hapo juu!

Sisi wenyendevu kazi ipo mkuu!
 
HAKIKA MUSTAFA MKULO HANA HULKA YA MATUSI WALA TARBIA MBAYA.

MIMI NIMEFANYA NAYE KAZI IDARA MOJA MIAKA YA 1984 MPAKA 1987 HUKO TANZANIA KABLA YA KWENDA OMAN KUFANYAKAZI.

NI MTU MBUNIFU SANA NA MTU WA KUSHAURIKA. MIMI NIPO NAYE KARIBU MPAKA LEO.

hEBU TAZAMENI NAMNA ALIVYIIINUA NPF SASA NSSF KWA KUWEKEZA KATIKA MAJUMBA. KWANI KINYUME CHAKE INGEKUFA KAMA NIC .

NENO STUPID SIO TUSI. JE MMEWAHI KUONGEA NA PROFESA SHABA NA KUONA ANAVYOLITUMIA NENO HILO
 
Back
Top Bottom