Waziri Mbarawa apata ajali Geita

Waziri Mbarawa apata ajali Geita

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,988
Ni breaking news ya radio one stereo.
Dereva wake ajeruhiwa, pamoja na meneja wa TTCL kanda ya ziwa.

Hali ya waziri mwenyewe haijatajwa kama amejeruhiwa ama yuko salama.

Ajali hiyo imetokea mkoani Geita wakati gari iliyombeba waziri Mbarawa ilipogongwa na basi lililokuwa linatokea mkoani Kagera kwenda Mwanza.

Msafara wake ulikuwa unaelekea mkoani Kagera ambapo waziri alikuwa anakwenda kukagua mkongo wa Taifa.
 
Tumshukuru Allah kama wametoka salama katika ajali na majeraha ni kawaida ila
Upendo umeisha kwa Watanzania mtu kapata ajali mwombee apone usiombe afe maana wewe hutakaa katika nafasi yake bali atawekwa wa asili yao
Tumwombee kwa Allah apone na aendelee na kazi maana asiyejua ajali ataongea lolote katika ajali ila kama amewahi kuhusika katika ajali asingesema ovyo hata kidogo
 
Pole sana Mbalawa & Dereva kwa ajali
Mpone haraka.
 
Kwa kuwa hawajaeleza hali yake basi inawezekana ame RIP,
ila bado wanatafuta mkandarasi wa kupitisha greda kwa njia ya kwenda kwake kwa maziko.
 
Mkongo wa Taifa umeanza kufanya kazi lini maana mpaka leo mitandao ya simu katika internet inasumbua sana na gharama zimepanda mara dufu wakati wakitandaza walisema mtandao utakuwa wa haraka sana na utapunguza gharama sasa sijaona faida yake
 
msafara wa Makame Mbalawa uliokuwa unatoka sengerema kuelekea bukoba umegongwa na basi lilokuwa linatokea geita kwenda mwanza, dereva wake na mtaalam wa ttcl nae kaumia..

source: radio 1
 
Ni breaking news ya radio one stereo.
Dereva wake ajeruhiwa, pamoja na meneja wa TTCL kanda ya ziwa.

Hali ya waziri mwenyewe haijatajwa kama amejeruhiwa ama yuko salama.

Ajali hiyo imetokea mkoani Geita wakati gari iliyombeba waziri Mbarawa ilipogongwa na basi lililokuwa linatokea mkoani Kagera kwenda Mwanza.

Msafara wake ulikuwa unaelekea mkoani Kagera ambapo waziri alikuwa anakwenda kukagua mkongo wa Taifa.

Nlijua tu,,
Hii issue ya KODI YA SIMCARD lazima itaondoka na mtu tu, bahati yake nae yuko fit, maana tulikua tunahesabu goli.
 
Back
Top Bottom