Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,328
- 144,782
...and that is just what i asked.
...you just had a nap again, or?!
Acheni janja yenu ya kupindisha ukweli kwa kuweka maneno mazuri ktk mistari. Ninyi ndio munaokena sio washauri wazuri wa Masha, munamuangamiza rafiki yenu, nchi hii sasa hivi watu wameamka.
Nah...i'm just discombobulated right now...my boss abruptly resigned on wednesday....and yesterday he took his life....
.....daaaaym, shit happenz my soldier, may he RIP.
.....domestic issue or some credit crunch related matter?! You know i wud be sorry to hear ya company going under the hammer.
Kuhani, kwa muibu wa sheria ya utumishi wa umma (Public Service Act) , Rais, Waziri mkuu na Mawaziri, Wabunge na wale wote ambao huchaguliwa kwa kupigiwa kura, sheria haiwatambui kuwa watumishi wa serikali. Bali ni viongozi wa kisiasa. Japokuwa tunaweza kusema kuwa nao ni watumishi wa umma. Ndio maana kuna sheria pia mahususi inayomhusu rais (Presidential Act). Otherwise, Chief Secretary ndiye mkuu wa atumishi wote wa umma kwa mujibu wa sheria ya watumishi wa umma.
Mtindio,
Nadhani SI LAZIMA mtu atumie Winzip kufungua Zipped file. Ni ku-right click kisha ku-explore file na kuona kilichomo ndani.
Nadhani watu wote humu ndani tunafanya makosa makubwa sana kumtuhumu Masha kuwa amekosea, kwa kulalamika kuhusu SAGEM.
Barua iko wazi kabisa, haina malalamiko kuhusu namna Bodi ya Tender ilivyofanya makosa wakati wa kupunguza makampuni from 51 to 21 halafu kutoka 21 mpaka 8.
Masha analalamika kwa nini SAGEM imetolewa, hiyo ndio ishu.
Sasa tunasahau kuwa Masha, Lowassa na Rostam ndio partners wa Sagem Tanzania, hivyo Masha analalamikia ulaji wake ahahaahahha
Masha yeye angeandika barua kama partner na sio Waziri wa MNN, ingekuwa justified kabisa, kwa hiyo advise MASHA UMEABUSE power na JIUZULU MAPEMA MKUU.
- Waziri kujaribu kutetea maslahi ya umma ni sawa kabisa, ila ingekua kiujumla na si kwa ajili ya kampuni moja. Katika bid evaluation njia rahisi kumbeba mtu ni kumpunguzia washindani....things like non-resposiveness etc.
- Sagem walilalamika... kwa hiyo walipata taarifa ya evaluation. Masha anasema mwamba sagem wamelalamikia evaluation...kwa hiyo Masha anajua kwamba sagem walipata (au aliwapa?) taarifa ambayo hwakupaswa kuipata.....
Now, Masha, before you go, where did Sagem get the information on an on-going bid evalaution?
namwona Mheshimniwa Zitto yupo hapa naye busy anadownload: hivi mheshimiwa Zitto, bunge limeshaisha session au unatinga na Blackberry? kwiwkikwikwiii!Currently Active Users Viewing This Thread: Susuviri, AJF, alekky, Asha Abdala, Baba Watatu, Baba_Enock, babuji, Balantanda, bill, calvinpower, Capitol Hill, cola, Companero, dash, Fatuma, Fisadinumber1, Guantanamo Bay, Haki.tupu, JJ, KatuleJ, kazidi, kelly01, Kichuguu, Kiranga, Kochokocho, Kokolo, lingusenguse, lotepe, Machiavelli, Madela Wa- Madilu, mageuzi halisi, manundu, materanus, MawazoMatatu, Mbu, MkamaP, Mkodoleaji, Mong'oo, Mosi-O-Tunya, mr kiroboto, Mr. Politician, mtimkavu, MTM, Mwanjelwa, Mzee Kibiongo, Ndele, ngereja, Nyambala, Pasco, Roya Roy, saikosisi, skasuku, Sober, Suki, Tabata-Kisiwani, tminde, TrueVoter, utu wangu, vstdar, Wakuja, Yebo Yebo, Zitto
Hayakuhusu