Watu bwana, yaani kwa vile kuna thread nyingi hapa zinasema Masha fisadi, basi na hapa wameng'ang'ana Masha has to go bila kuwa na sababu which is clearly stated.
Hiyo barua haimweki ina Mawili, either Masha has to Go or hao Makatibu wakuu wawili. What if Katibu Mkuu ndio ali-leak-isha info kwa Sagem? if not what prevailed had Sagem wakalalamika? hili hakuna mtu anayetaka kuliongelea.
Kwa hiyo Masha angesubiri tu taarifa akaisome bungeni, hajui background; then akiulizwa maswali ajibu nini? If that is the system it is more than rotten, bogus and no wonder mambo yanakwenda ndivyo sivyo kila leo.
Kama hamtakubali kubadili hilo lisystem lenu la uongozi, mtaendelea kulia sana...na endeleeni kuendesha nchi kwa mazoea na sio kufuata taratibu.
Hapa hypothesis nyingine inakuwa derived kuwa huko kwenye system kuna cold war between wazee waliozoea kuendesha nchi kwa uzoefu na vijana 'labda' wanaotaka kuendesha nchi kwa kufuata organisational ranks na taratibu.
Sielewi bado bwana Ogah, inakuwaje Katibu Mkuu apeleke taarifa na Katibu Mkuu Kiongozi, na Katibu Mkuu Kiongozi atoe rulluing bila kushauriana na Waziri husika?
Sikatai kwamba Masha has to go, but there is a need to know he has to go on which grounds.
..........Cabinet paper haiwakilishwi/somwa bungeni bana..........inaelekea huelewi system inavyofanya kazi...........ndg yangu ningekuwa na muda ningekuelezea............ngoja niwahi mabox.....