Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,506
- 51,111
Mheshimiwa Waziri Makamba
Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja.
Mathalani kama Namba X ya simu inanunua umeme wa sh 10000 kwa ajili ya mita Y, na ikitokea mathalani namba nyingine Q ya simu nyingine ikanunua umeme mwingine wa sh 10000 kwa ajili ya mita hiyohiyo Q, Basi hapo mawili yatatokea.
Mfumo haukumbuki kuwa mita hiyohiyo moja ishalipiwa kodi ya jengo kupitia simu nyingine na kwa hiyo namba nyingine itakatwa kodi ya jengo za miezi kadhaa nyuma mpaka the last date simu hiyo nayo ilipotumika mara ya mwisho kununua umeme kwa ajili ya mita husika.
Kiufupi mheshimiwa, Mufumo huu wa kulipa kodi ya jengo, it seems search mechanism yake haibase kwenye namba ya mita ya LUKU husika, bali blindly unakata kwenye namba ya simu itakayoinunulia mita hiyo umeme at that particular time. Wakati kiutaalamu kabisa, ilipaswa kuwa yeyote ambaye angenunua umeme kwa ajili ya mita X, basi mfumo wa LUKU ulipaswa ukumbuke ili akishakatwa mmoja basi mwingine asikatwe tena.
Chukulia mfano leo ni October
Kama simu Y imeshakatwa 1000 lwa ajili ya mwezi, July, August, Sept, basi mteja akinunua umeme mwezi october atakatwa buku la mwezi october tu. Ila akija mtu mwingine mpya ambaye hajatumia simu yake kununulia umeme kwa miezi sita iliyopita, Atakatwa hela zote za july, august, sept na oct licha ya kuwa kuna mpangaji mwenzie tayari huwa anakatwa regularly makato ya buku mojamoja kila mwezi.
Sasa hii system ibadilishwe, ili iwe inakeep information by meter number na siyo individual phone number.
Kinyume cha hapo, mtakuja kuleta ugomvi baina ya kila mpangaji na mwrnye nyumba, maana kils mpangaji alikatwa buku mojamoja kivyavyake bila system kujiupdate kuwa meter fulani ishakatwa kupitia manunuzi ya mtu mwingine
Ili kuielezea point yangu: fanya experiment ifuatayo
Chukua simu mbili, moja ni ile ambayo unanulia umeme regularly kwa ajili ya mita X na nyinhine ile ambayo hujawahi kununulia umeme kwa ajili ya mita hiyo, kisha tumia namba hizo mbili kununulia mita hiyo umeme, uone makato yatakuwaje kwenye kila namba ya simu!