SILENT WHISPER
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 2,209
- 821
Dr. POMBE. for presidency!!!!
Dr. POMBE. for presidency!!!!
Kama ni kweli huyu waziri ambaye yuko busy wakati wote ndiye anayepewa hii Ph.D, wengine inatushangaza.
Kwa yeyote aliyesoma kufikia kiwango cha Ph.D atakubaliana na mimi kuwa hupati Ph.D, tena ya Chemistry, on a party time basis na kwa muda mfupi.
Kabla ya kuendelea na huu mkumbo wa kumpongeza huyu mheshimiwa, ningependa kujua kuwa, je huyu mkuu;Ph.D halali hufanyiwa kazi kubwa na sio kama Bachelor au Masters ambapo coursework na vi-test tu vinaweza kutumika kumpa mtu hizo degree. Ph.D ni tofauti, lazima mtu afanye utafiti na kuandika vitu ambavyo havijaandikwa na mtu mwingine yeyote.
- Ameanza lini hiyo program yake ya Ph.D?
- Research yake inahusu nini?
- Ameifanya lini na wakati gani hiyo research yake ukitilia maanani yeye ni waziri na mtu wamihangaiko?
- Ni nani ma-supervisor wake?
- Ame-publish paper ngapi na lini?
- Ame-present paper/research yake lini na mara ngapi?
- Kama alikuwa mwanafunzi wa Ph.D, nani alikuwa Waziri?
Watu hulala na kuishi lab kwa ajili ya Ph.D, sasa sijui huyu Mheshimiwa ni lini alilala Lab na hapo hapo kutimiza kazi yake ya uwaziri.
UDSM mnatutia aibu sasa.
Rugemalira wa IPTL alinunua degree ya kwanza, sasa Ph.D nazo pia hazifanyiwi kazi? Hii ni aibu kubwa sana.
maFISIadi (mafisadi) yashaanza kutia timu sasa. kumbuka siku ina masaa 24, kuna wengine wanachukua MBA kwa kusoma kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2 usiku kwa siku. inamshinda nini yeye kuingia lab saa 2 mpaka saa saba usiku!!!? haya ndo matatizo ya kutumia 0.001% ya ubongo wako kwa kufikiri, ubongo si kama sabuni kwamba ukitumia basi itaisha!? mijitu ya kukariri utaijua tu
BabaBabuu,
Huu wimbo wa Mafisadi/Ufisadi naona sasa unawafanya watu wengine wawe wapumbavu wa kufikiri na sasa hata wa kusikiliza.
Sidhani kama umeshawahi kufanya Ph.D maana kwanza naona unafikiri Ph.D ni kufundishwa kama MBA. Doctorate haipatikani hivyo, lazima uipotezee masaa mengi kwa siku, kusoma vitabu, majarida, kufanya experiments, presentations na hata kufundisha na ni siku kadhaa kwa wiki kama sio kila siku. Ph.D unahangaika na vitu usivyovijua mpaka upate ufumbuzi wake. Ndio maana Ph.D halisi hazitolewi kirahisi.
MBA unaweza kuipata kwa kujisomea tu waliyoandika wengine na kujibu maswali ya test/mitihani. Sana sana utaandika riport za mambo ambayo ni ya kawaida. Unaweza ukapata MBA hata kwa miezi sita tu na za online ndio itategemea tu nani anakusaidia.
Tusikubali kudanganywa na watu wanaoibaka elimu yetu kutokana na nguvu zao za kifedha/kisiasa. Anayetaka degree lazima aifanyie kazi ili utendaji wake wa aliyoyasomea ulingane na elimu yake.
Mliopo UDSM tupeni data za hii Ph.D ya huyu mkuu.

...Na kweli mazee!! kuna siku jamaa alistukia paka wanamegana ilibidi apige kelele akajaza watu sio pole pole. PhD huenda jamaa alikuwa anafanyia tuition kwenye mjengo kule!!!hongera Dr. Magufuli. mambo kimya kimya kama mapenzi ya paka unashtukia watoto tu. big up mzee