Waziri Magufuli apata PhD

Waziri Magufuli apata PhD

msomi wa kweli utamjua tu hata anavyoshughulikia vitu utaona hichi ni kichwa na wala sio MaPhd's ya kununua ya mawaziri wenzie

hongera sana J Pombe Magufuli
Hivi kituko unajua majina ya mawaziri walionunua maPhd's kwasababu nahamu kuliko maelezo ya kuwajua wazandiki hao
 
Msomi mmoja maarufu alisema hivi, kama mvua inanyesha na haionyeshi kama imenyesha basi hakuna maana ya mvua hiyo kwepo.

Mhe. Magufuli siyo tu kwamba anajua anachokifanya bali kila anapopita anaacha "ATHALI HASI" Mfano:

1. Alipokuwa Waziri wa Ujenzi - Kajenga Nyumba ngapi ambazo Mawaziri wengine wala hawakuthubutu hata kuzifanyia Ukarabati zile zile zilizopo. BaraX2 ngapi amezisimamia na siyo hilo tu bali hata kujua urefu wake na maendeleo yake ya kazi yanavyoendelea.

2. Alipokuwa Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi, Tazama NHC ilivyobadilika kiutendaji hata Ofisi zao zilianza kubadilika.

3. Kapelekwa Mifugo na Uvuvi- Vile vyuo vyote vya Mifugo amevifufua, zile Ranchi zote za Taifa amezifufua.

Mimi sijuwi wengine wanashindwa Nini.

Waziri Magufuli namfahanisha na Mhe. Celina Kombani - Waziri wa Serikali za Mitaa kuna mengi ameyafanya katika Serikali za Mitaa tangu alipokuwa Mhe. Naibu Waziri na hadi sasa kuwa Waziri kamili. hao ndiyo watendaji tunaowataka.
 
Hongera Dr. John Pombe Magufuli kwa "achievement" hiyo. Kazi zako zinaonekana kila wizara unayopewa hata kama ni kwa shingo upande. You are a real "mzalendo" to your country.
 
Msomi mmoja maarufu alisema hivi, kama mvua inanyesha na haionyeshi kama imenyesha basi hakuna maana ya mvua hiyo kwepo.

Mhe. Magufuli siyo tu kwamba anajua anachokifanya bali kila anapopita anaacha "ATHALI HASI" Mfano:

1. Alipokuwa Waziri wa Ujenzi - Kajenga Nyumba ngapi ambazo Mawaziri wengine wala hawakuthubutu hata kuzifanyia Ukarabati zile zile zilizopo. BaraX2 ngapi amezisimamia na siyo hilo tu bali hata kujua urefu wake na maendeleo yake ya kazi yanavyoendelea.

2. Alipokuwa Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi, Tazama NHC ilivyobadilika kiutendaji hata Ofisi zao zilianza kubadilika.

3. Kapelekwa Mifugo na Uvuvi- Vile vyuo vyote vya Mifugo amevifufua, zile Ranchi zote za Taifa amezifufua.

Mimi sijuwi wengine wanashindwa Nini.

Waziri Magufuli namfahanisha na Mhe. Celina Kombani - Waziri wa Serikali za Mitaa kuna mengi ameyafanya katika Serikali za Mitaa tangu alipokuwa Mhe. Naibu Waziri na hadi sasa kuwa Waziri kamili. hao ndiyo watendaji tunaowataka.

nini wewe?kuna wizara lililooza kama hili...please give me a break
 
Hongera ndugu yangu pombe magufuli, tht is academic achievement, unaweza kwenda au baki chuoni kawafundishe watoto wetu maarifa..

na ukibaki siasa basi embu tunisha misuli na JK walau muondoe utaratibu usio wa ki-demokrasia wa kuachina bila mpango
bravo pombe.
 
Bravo John Pombe Maghufuli,
That's Y I admire science,scientists ambao hawaja siyasika(hawajaharibiwa na politiki) hawana longolongo terms/vocabularies za kuwa yeyusha wana inji,ni straight forward hitting the point na kuchapa mzigo as instructed + maarifa yao.
Viongozi wa juu wengi wa China ni engineers,pale ku instruct tuu,halafu ukizingatia chinese wenyewe ni kama robots basi wana respond tuu,,veery smooth.
Anyway,,,vandugu hakuna short-cuts,tule misuli...I mena tupige book,,,tena btn the lines,,,wengi tumeathirika na kudesa,kwa hiyo mtu hasomi hadi kuwe na paper which means akishamaliza versity tu na kuanza kazi basi na kusoma tena basi,,,unafanyaje kazi bila kuji update????,,natarajia hili haliwakuti ma daktari(watabibu) maana italeta shida.

Salute~
Qadhi
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, John Magufuli leo anatarajia kutunukiwa PhD ya kemia katika mahafali ya 39 ya UDSM
Magufuli ameonesha njia ...Viongozi vihiyo twendeni darasani Tusisubiri Udaktari wa kupewa bure tuuu..kama Kina Karume, DR Rais,Dr Rais Mstaafu na wengine..Twendetushike madesa tusapu sana mpaka tupate Phd za Kikwelkweli...
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, John Magufuli leo anatarajia kutunukiwa PhD ya kemia katika mahafali ya 39 ya UDSM

Hongera John Magufuli, chema chajiuza kibaya chajitembeza!!!
Umevaa kofia ya heshima
na digrii ya heshima,
kazi yako ni ya heshima,
uwezo wako ni wa heshima

Sasa tunataka na hawa wafuatao wawe wa heshima
Dr. Makongoro Mahanga
Dr. Mary Nagu
Dr. E. Nchimbi
Dr. David Mathayo
 
Bravo John Pombe Maghufuli,
That's Y I admire science,scientists ambao hawaja siyasika(hawajaharibiwa na politiki) hawana longolongo terms/vocabularies za kuwa yeyusha wana inji,ni straight forward hitting the point na kuchapa mzigo as instructed + maarifa yao.
Viongozi wa juu wengi wa China ni engineers,pale ku instruct tuu,halafu ukizingatia chinese wenyewe ni kama robots basi wana respond tuu,,veery smooth.
Anyway,,,vandugu hakuna short-cuts,tule misuli...I mena tupige book,,,tena btn the lines,,,wengi tumeathirika na kudesa,kwa hiyo mtu hasomi hadi kuwe na paper which means akishamaliza versity tu na kuanza kazi basi na kusoma tena basi,,,unafanyaje kazi bila kuji update????,,natarajia hili haliwakuti ma daktari(watabibu) maana italeta shida.

Kwahiyo tuchague mainjinia tu wawe viongozi,au unataka kusemaje? Huo mfano wako wa wachina haujatulia kaka. unaposema chinese ni kama robbots kwa hiyo wanarespond tu unataka nasi tuwe hivyo??? Umejicontradict vibaya mno. Tunataka watu wenye uwezo wa kusema ndio au hapana,sio kurespond tu!!
 
Hongera mkuu John Pombe Magufuli ......angalau kazi zako zinaonekana kuliko akina kawambwa wanashindwa hata kuzungumza wakaeleweka?
 
Back
Top Bottom