Leta maneno mkuu..huyu jamaa ni genius fulani hivi, nadhani anaweza kulikomboa taifa letu
hongera sana JONPOMMAGU!
Mkuu Lambardi, aka Skills4Ever , kumbe watu kumuotea Magufuli kwa urais, mlianzia mbali!, hii ilikuwa Nov 29, 2009!.Namkubali mno Dr Magufuli....go go go for Presidency
Hili mbona sio swali?. Hili ni jibu!. JPM amelikomboa sana taifa hili kwa kulinyoosha!.Leta maneno mkuu..
Taifa limekombolewa kama ulivyoproject??
SureUkitaka kuwajua Watanzania ni watu wa design gani, Soma Huu uzi kuanzi mwanzo.
Ni wanafki waliokubuhu.....!!!
Huu ubumvuzi wake hauwezi kutumika kuuza ili dunia uendeleza na matokeo yaonekane?Hahahahahah unantia AIBU kwa kweli.....
Mbona umejump kwenye conclusion mzee...
Unajua uwezo wa kiakili na perfomance tunatofautiana?
kuhusu maudhurio mimi nlikua pale mlimani for 2years alikuepo every
weekend unakaa nae Lab pale chemistry dept, lunch mnaenda wote caft
2 na tunatoka tunamwacha Lab.
Aliekua mmoja wa wasimamizi wake ni Prof. Nkunya... Nafkiri unaujua
weledi wa huyo bwana.
Labda nikutoe wasiwasi kaka, magufuli ni kichwa cha ukweli niamini mimi
maprof wa pale chemistry walikua wakimzungumzia ki ufundi zaidi.
research yake ya phd ilihusu maganda ya korosho kuweza kutumika
kuondoa kutu, n it was successfull very impressing.
KUWA NA AMANI, JAMAA NI WA UKWELI NO DOUBT!
Ila mkuu ulikuja kutrend sana aisee, japo ulimsakama kama nini. Sijui mlipishana wapi.Ph D ya Magufuli ni ya ukweli wala sipotezi muda wangu kumaliza buttons kuijadili....Dr.John Pombe Magufuli ....
Tuna shida kubwa sanaUkitaka kuwajua Watanzania ni watu wa design gani, Soma Huu uzi kuanzi mwanzo.
Ni wanafki waliokubuhu.....!!!