Waziri Magufuli apata PhD

Waziri Magufuli apata PhD

Kama ni kweli huyu waziri ambaye yuko busy wakati wote ndiye anayepewa hii Ph.D, wengine inatushangaza.

Kwa yeyote aliyesoma kufikia kiwango cha Ph.D atakubaliana na mimi kuwa hupati Ph.D, tena ya Chemistry, on a party time basis na kwa muda mfupi.

Kabla ya kuendelea na huu mkumbo wa kumpongeza huyu mheshimiwa, ningependa kujua kuwa, je huyu mkuu;
  1. Ameanza lini hiyo program yake ya Ph.D?
  2. Research yake inahusu nini?
  3. Ameifanya lini na wakati gani hiyo research yake ukitilia maanani yeye ni waziri na mtu wamihangaiko?
  4. Ni nani ma-supervisor wake?
  5. Ame-publish paper ngapi na lini?
  6. Ame-present paper/research yake lini na mara ngapi?
  7. Kama alikuwa mwanafunzi wa Ph.D, nani alikuwa Waziri?
Ph.D halali hufanyiwa kazi kubwa na sio kama Bachelor au Masters ambapo coursework na vi-test tu vinaweza kutumika kumpa mtu hizo degree. Ph.D ni tofauti, lazima mtu afanye utafiti na kuandika vitu ambavyo havijaandikwa na mtu mwingine yeyote.

Watu hulala na kuishi lab kwa ajili ya Ph.D, sasa sijui huyu Mheshimiwa ni lini alilala Lab na hapo hapo kutimiza kazi yake ya uwaziri.

UDSM mnatutia aibu sasa.

Rugemalira wa IPTL alinunua degree ya kwanza, sasa Ph.D nazo pia hazifanyiwi kazi? Hii ni aibu kubwa sana.

Naona umeweka picha yako, EL...

JPM ana PhD ya ukweli... Get that into your thick head...
 
Kwa Dr John Joseph Pombe Magufuli. Mimi kwako ni saluti tu kaka, uko juu mno, heshima kwa sana, yani unacho kichwa baba.

Wasiokubali wakajinyongee mbali! Mwanaume kaandika PhD thesis liko pale chuo, anayepinga akaisome kwanza ile thesis aje hapa aseme ni kipi asichokikubali na kwa ushahidi upi.

Pombe Magufuli ni kichwa si cha kitoto!

Hongera sana mkuu, saluti kwa sana.
 
kwa mujibu wa gazeti la mtanzania, john magufuli leo anatarajia kutunukiwa phd ya kemia katika mahafali ya 39 ya udsm

raisi mkapa alitumia busara kubwa kumtafuta huko alipo akamweka katika uongozi wake na akamtumia ipasavyo kewnye eneo nyeti.
Naomba na raisi wa sasa amtumie ipasavyo kwenye maeneo nyeti kwa taifa na sio sasa kwenye samaki na mifugo
 
Watu wengi hapa JF wamemsifu sana Magufuli kwa kupata Phd hapo UDSM.
Kwa hiyo Mhe Nchimbi akipata Phd toka Mzumbe say,tushishangae sana.Naona kuna hypocricy hapa ,ni sawa kigogo kupata Phd Udsm lakini kuna watu watachallenge kigogo kupata Phd toka Mzumbe.

Thread yangu ni obectivity ya Phd ya Magufuli.labda mnaomjua zaidi huyu Mhe mtudokezee :
1.any standard Phd toka top class university ni 3 yrs for full time,na 5-6 yr for
for part time.Tunasikia Magufuli alichukua 3 yrs kumaliza tunaassume,alikuwa full time.Wote tunajua kipindi hiki alikuwa waziri !full time maana yake mwaka wa kwanza darasani,miaka 2 ni research na kupresent papers mbali mbali,au kuwa Tutorial assistant.
2.tunasikia supervise wake aliuwa classmate wake.je hapa kuna uhalali?
kwa sababu ni waizri mnategemea nani angesema ana walakini na research yake?

Hii trend imeanza kwa mawaziri kufanya Phd vyuoni!Kama Nchimbi na wenzake
wakipata Phd za Mzumbe watu wa UDSM msilalamike,maana trend imeanzishwa
na akina Magufuli.Miaka yote alikuwa wapi,mpaka awe waziri ndio awe na Phd?
Au ni kuwa sambamba na akina nagu,makogoro,matayo,dialo etc
 
fumbo mfumbie mjinga, mwerevu huling'avua! Issue yako imekaa kisiasa zaidi! Ndiyo hivyo tena...keshapata PhD yake!
 
Ph D ya Magufuli ni ya ukweli wala sipotezi muda wangu kumaliza buttons kuijadili....Dr.John Pombe Magufuli ....
 
Hivi kama mtu hufundishi, kwa nini unajiita Dr?

Hivi ataanza kuandika vitabu na takataka nyingine ili kui-keep hiyo Dr au inabaki jina tu?

Hizi Tittle sasa zimekuwa za kwenda kuchumia uyoga msituni (bunsolele)...
 
`Nimejaribu kutoa 2 reasons kufafanua kama kuna objectivity.Pape na Kigogo hamjajibu hoja kama serving Minister mwenye majukumu makubwa akamaliza Phd within 3 yrs,na kuwa supervised na former classmate wake!sijasema UDSM ni kama PWU au Washington unis!!!

Kigogo umekuwa kama dikteta
 
Bora mimi nataka kutumia hamu yangu kidogo ya kusoma niliyobakiza kusoma vitu nivipendavyo (ambavyo si fani yangu). Nataka kujifunza Kijerumani na Kifaransa. Pia nataka kusoma na kujua zaidi kuhusu historia ya Mashariki ya Kati na Sayansi ya Anga.
 
`Nimejaribu kutoa 2 reasons kufafanua kama kuna objectivity.Pape na Kigogo hamjajibu hoja kama serving Minister mwenye majukumu makubwa akamaliza Phd within 3 yrs,na kuwa supervised na former classmate wake!sijasema UDSM ni kama PWU au Washington unis!!!

Kigogo umekuwa kama dikteta
sawa!

Wallah una lako jambo si bure
well noted
 
Hivi kama mtu hufundishi, kwa nini unajiita Dr?

Hivi ataanza kuandika vitabu na takataka nyingine ili kui-keep hiyo Dr au inabaki jina tu?

Hizi Tittle sasa zimekuwa za kwenda kuchumia uyoga msituni (bunsolele)...

Kwani lazima ufundishe ndio uitwe Dr?Acha kutuvuta kamba wewe!Ungesema Prof. sawa!Jamaa kapata zake PhD kwenye chuo kinachotambulika.PhD ni lazima uitetee sio tu kuandika.There is a board ambayo lazima upitie kwa maswali zaidi ya 3hrs.Mtu akipata PhD kihalali mpeni sifa zake.And YES,hata kama sifundishi PhD ni title!

Nawasilisha!
 
Umeme ukikosekana kwenye Train ya kati, lazima TANESCO ilaumiwe.... tetetetee 🙂

Sawa, hongera Dr. Kwani tofauti ya Docta na Prof ni ipi? Tuwape tu wote u-Prof na kijulikane kimoja. Prof. Kikwete, Magufuli, Mwakyembe, Makinda, Makongoro, Malecela, Makamba, Nchimbi, nk na wale wote wasiofundisha sasa kama Mwandosya, Sarungi,........................
 
Kama ni kweli huyu waziri ambaye yuko busy wakati wote ndiye anayepewa hii Ph.D, wengine inatushangaza.

Kwa yeyote aliyesoma kufikia kiwango cha Ph.D atakubaliana na mimi kuwa hupati Ph.D, tena ya Chemistry, on a party time basis na kwa muda mfupi.

Kabla ya kuendelea na huu mkumbo wa kumpongeza huyu mheshimiwa, ningependa kujua kuwa, je huyu mkuu;
  1. Ameanza lini hiyo program yake ya Ph.D?
  2. Research yake inahusu nini?
  3. Ameifanya lini na wakati gani hiyo research yake ukitilia maanani yeye ni waziri na mtu wamihangaiko?
  4. Ni nani ma-supervisor wake?
  5. Ame-publish paper ngapi na lini?
  6. Ame-present paper/research yake lini na mara ngapi?
  7. Kama alikuwa mwanafunzi wa Ph.D, nani alikuwa Waziri?
Ph.D halali hufanyiwa kazi kubwa na sio kama Bachelor au Masters ambapo coursework na vi-test tu vinaweza kutumika kumpa mtu hizo degree. Ph.D ni tofauti, lazima mtu afanye utafiti na kuandika vitu ambavyo havijaandikwa na mtu mwingine yeyote.

Watu hulala na kuishi lab kwa ajili ya Ph.D, sasa sijui huyu Mheshimiwa ni lini alilala Lab na hapo hapo kutimiza kazi yake ya uwaziri.

UDSM mnatutia aibu sasa.

Rugemalira wa IPTL alinunua degree ya kwanza, sasa Ph.D nazo pia hazifanyiwi kazi? Hii ni aibu kubwa sana.

PHD ya DR J😛 Magufuli ameipata kwa jasho lake mwenyewe, nilimshuhudia si mara moja aud akipambana, na alisimamiwa na Waalimu wawili waliobobea kwenye hiyo fani, then utafiti alioufanya ni mzuri kweli na ninaamini hata akihamua kuachana na siasa na kuifanyia kazi matokea ya research yake naamini itamlipa kweli,,, ilikuwa inahusu namna ya kutumia maganda ya korosho kuondoa kutu,,ujue kwa nchi zilizoendelea hasa US swala la kutu ni tatizo na linagarimu si kiasai haba cha pesa.

swala la muda kwake halikuwa tatizo muda mwingi alikuwaga a´nashinda chuo weekend na hata siku nyingine za kazi nilikuwa namshuhudia. KUMBUKA HATA ZITTO KABWE ANAFANYA PHD WAKATI YEYE NI MBUNGE NA HATA MAJUZI ALIRUDI KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI AMBAYE YEYE NI MWENYEKITI WAKE sioni tatizo hata kidogo ni swalal la mtu kujipanga, hata siku ya mahafali alimshukuru Mh President na hisi ni kwa kumpa ruhusa ya kusoma na kuchapa kazi,,, nakumbuka nilipokuwa chuo naibu waziri mkuu alikuwa anasoma sheria jioni kuanzia saakumi mpaka saasita usiku utamku´ta library.

UDSM ni chuo kinaheshimika Africa na duniani wasingekubali hata kidogo kutoa phd bila jasho, kupata PHD sio lazima uandike na kupresent papers kupanda cheo baada ya kupata phd kigezo kimojawapo kinachotumiwa ni paper nagpi umeandika na umezi present wapi,,,,acha wivu mpongeze DR Magufuli anastahili

Bravo DR JPM
 
Back
Top Bottom