Hussein Abdallah Re: Waziri Masha Azomewa Nyumbani Mwanza; Zito Ashangiliwa
Quote: BabaH
Wako wapi akina FMES na Kadampinzani jamani??
Mbona watu wanasema ukweli kuhusu masha na hawa jamaa hawaweki lao neno? Unataka kuniambia hawajaiona hii thread au?
Nimeuliza hivi kwa sababu walimtetea sana huyu masha siku za karibuni, wakidai the Guy is smart kwa sababu ni msomi, na vingine walivyovieleza wao
sasa leo wako wapi??
Mteteeni tena leo
Achana na ES ana kamtandao kake na yeye hutetea mrija wake then anajifanya mtetezi wa Taifa hana lolote msomeni vyema mtagundua na kama mmesha gundua basi mwangakieni kwa makini.Ukimgusa alipo na maslahi ata spin hadi anazeeka lakini sasa hoja imemshinda hii na kijana wake smart aliyekuwa anamtukuza .
1. Hii nilikuwa sijaiona, okay, wakuu kuzomewa kwenye siasa sio kuondoa u-smart wa kiongozi, kwa sababu kuna sababu nyingi zinazoweza kushinikiza kuzomewa,
(a). kwa mfano Mwalimu Nyerere(RIP), alishawahi kuzomewa kule OAU Adis, kwenye kikao cha viongozi wake in 60s, kuhusiana na suala la vikwazo vya uchumi kwa makaburu na walowezi wa Zimbabwe,
hiki kitendo kilikuwa engeneered by Nkurumah, ambaye alikuwa najaribu kumpunguza nguvu Mwalimu, kutokana na tamaa zake za kutaka kuwa rais wa kwanza wa US Of Afrika, suala ambalo lilikuwa linajadiliwa sana, walimzomea kwa kudai kuwa anashirikiana na makaburu, baada ya kutoa hotuba nzito sana, sasa kwa argument yenu ina maana Mwalimu hakuwa smart, au aliupoteza u-smart baada ya kuzomewa, tena na marais wenziwe?
(b). Kuzomewa kwa Masha, kwenye huu mkutano ilikuwa ni mis-calculation ya Masha, kisiasa, kwa sababu alipaswa kuelewa kabla ya kwenda kwenye huu mkutano what time is, yaanai baada ya the mess ya kumtetea Ridhiwani, unaenda kwenye mkutano, tena ukumbi mmmoja na Zitto, that was a big time political mis-calculation, lakini pia sio ajabu ndio hasa maana kuwa rookie, sijui kuhusu the context kwa sababu sijaisoma yote, lakini kitendo cha kwenda pale kwenye mkutano hakikuwa thought very careful, lakini haimupunguziii anything, zaidi tu ya kumtaka awe careful in the future, kwa sababu no matter what asingeweza kuondoka pale bila kuzomewa, the political wisdom ilikuwa ni kumtuma waziri wake mdogo kumsomea paper kwa niaba yake.
2. Kuhusu la pili Mkuu mimi ni mtu ninaheshimika sana kuanzia hapa JF, mpaka nje ya hii forum, sasa jaribu kuwa muangalifu na maneno unayoyarusha on me kwa sababu huna ushahidi wa unayoyasema. I am not sorry kwamba wewe huna marafiki wanaofahamika ili uwatete kwenye ukweli hapa JF, na wala sio tatizo mimi kuwa nao, maaaana I am what I am and you are what you are, hapa tunakutanisha ideas zetu tu, lakini hunijui wala sikujui, isipokuwa ninajua majina yako yote hapa JF, if anything ninakuheshimu sana kwa ernegy, I mean how do you do it?
Maaana you have a name kila kona hapa forum, jina moja wewe ni CCM damu, lingine wewe ni Chadema damu, lingine wewe ni expert kwenye Obama thread, I mean man you are all over, halafu you know kwamba ninajua hilo na majina yako yote lakini husikii aibu WHY?
Unasema habari za kamtandao exactly unaongelea nini? Kwa nini unataka kunilaumu mimi kwa matatizo yako ya kutokuwa na marafiki ambao huwezi kuwa-claim hapa JF? Masilahi gani unayoyasema hayo ambayo Masha anaweza kunipa mimi? Ni wa-Tanzania wangapi unaowafahamu wenye Law Bar ya ku-practice Criminal Law New York kama Masha? Wewe kwenye maisha yako hujawahi kuzomewa?
In the future weka hoja mkuu, hizi za kujifanya unanijua sana acha mkuu, hapa tunaongelea taifa, sio mimi, unajua mkuu ninakushangaa sana na how you manouver na kujikita kila kona humu JF, I mean ninakuheshumu sana kwa hilo, lakini please ninaomba uniache na hizi personal attacks, ninarudia sina mtandao, wala masilahi ya mtu ninazo mali za kunitosha zangu mwenyewe bro, sihitaji masilahi yako wala ya mtu yoyote, laikini ninao marafiki wa hali ya chini na wahali ya juu, viongozi kwa wananchi, na wakisemwa hapa hata siku moja sitaogopa kusema kuwa ninawafahamu na kama ikibida nitawatetea, ninaruida ninamjua Masha, he is my friend as a human being kama mimi, ni waziri, amezomewa kwa sababu ndio hsasa mchezo wa siasa unavyochezwa inaonekana alikuwa hajui, na ninampa a benefit of the doubt, kwa kuwa ni roookie wa siasa.
Wakuu sijawahi kukimbia ishus, hii nilikuwa sijaiona tu, lakini kama kawaida inajadilika.