Waziri Lawrence Masha hana uwezo

Waziri Lawrence Masha hana uwezo

Watu wabaya sana, yaani mmeamua kumtilia mchanga huyu jamaa...
Huko alipo kama namuona anatetemeka tu...🤣🤣🤣
 
Nadhani katika makaburi yote yalowahi kufukuliwa, hili ndo kali kuliko yote!

Kitila asije tu kujikana mwenyewe hapa na kudai alidukuliwa....

Eti jiwe ni kanyaboya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio tu kanyaboya lakini pia anatafuta sifa kama kawaida.
Hiyo inamaana magu ni mtafuta sifa[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Magufuli ni kanyaboya. Kama kawaida anatafuta sifa. Wenzake wamemuingiza mkenge. Wamemuacha afanye mambo hayo ya kunyanganya watu viwanja ili wananchi wamchukie na atoke katika mioyo ya watu. Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga nyumba in 3 years kama sio hao mawaziri na vigogo wengine serikalini? Acha awakera watu ili atakaponyang'anywa uwaziri watu wasilalamike!
Ogopa sana technologia na Mungu[emoji16]
 
Huyu Magufuli ni kanyaboya. Kama kawaida anatafuta sifa. Wenzake wamemuingiza mkenge. Wamemuacha afanye mambo hayo ya kunyanganya watu viwanja ili wananchi wamchukie na atoke katika mioyo ya watu. Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga nyumba in 3 years kama sio hao mawaziri na vigogo wengine serikalini? Acha awakera watu ili atakaponyang'anywa uwaziri watu wasilalamike!
Hahahaha siasa na teknolojia ni vitu vitamu sana
 
Huyu Magufuli ni kanyaboya. Kama kawaida anatafuta sifa. Wenzake wamemuingiza mkenge. Wamemuacha afanye mambo hayo ya kunyanganya watu viwanja ili wananchi wamchukie na atoke katika mioyo ya watu. Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga nyumba in 3 years kama sio hao mawaziri na vigogo wengine serikalini? Acha awakera watu ili atakaponyang'anywa uwaziri watu wasilalamike!
Uwaziri ndio bye bye
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ni vizuri kuweka akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom