Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 167
Hawa ndiyo viongzo tulio nao,wewe haushangai ukienda pale Club 84 dodoma utawakuta wakivizia watoto wa CBENaona si vyema kumshambulia mleta mada, badala yake tumuombe atupe data zaidi ili tumkome nyani vizuri. kwamfano katika mada yake kuna issue kuu mbili na mawili yatokanayo:
1) -Waandishi walikatiwa mshiko wa alfu 20 ili wasiandike maswali ya wapiga kura wake ya kwanini aliisajiri Deep Green? je aliwajibu majibu ya kutosheleza?
---Je waandishi kwa kupokea hiyo alfu 20 mkaacha kuandika habari nzito namna hii mnatutendea haki watanzania wenzenu?
2)-Jambo la pili ndo hilo la kutoa zawadi binafsi kwa ma miss, je ni jambo jema kwa waziri mwenye dhamana kufanya hivo? je anapo toa pesa hiyo kwa shughuli kama hiyo wakati wapiga kura wake kuna watoto wana shindwa kwenda shule kwa kukosa uniform ya alfu 5 ni sawa?
----Jambo la mwisho linatokana na baadhi ya wachangiaji wanao uliza kwamba alitoa sh ngapi na kama alikuwa kaisha onja mbili tatu kwani wanamjua tabia yake, wasi wasi wangu ni je, waziri mwenye dhamana hatakiwi kuwa na maadili fulani ya kulinda heshima yake na pengine kuwa katika mazingira na hali ambayo haihatarishi maslahi ya taifa?, mfano kama akionja anakuwa 'out of himself' hawezi kuliingiza Taifa mkenge kwakutoboa siri, ama kufanya maafikiano fulani ambayo hayana tija kwa Taifa?