Waziri Lawrence Masha hana uwezo

Kweli unaweza kuwambia wananchi kwa akili za kawaida kuwa Nchi inafaidika na Madini yake?
Hata tusiponufaika si madini hayaishi kama mikate ile ya yesu (mitano wakala watu 1000!!!!na kusaza) kwi kwi kwi he he he te te kweli kuna hamnazo wengi
 
sir leem naona sasa unaelekea pabaya.kilichofanyika kiteto hata mtoto mdogo anajua.hawezi kujiita mtu mshindi kiteto.sasa wewe unamtetea masha kweli kwa kuficha ukweli?? its da right time now to think global and act locally.maendeleo hayaji kwa kuwatetea wajinga wakati hali inazidi kuwa ngumu.ina maana wewe ni mgeni galilaya hii, hujui kuwa imma advocate inawasaidia wanaoiba ndani ya nchi yetu.sasa kwann tusiwachukie kama tumeshindwa kuwashughulikia.subiri uone kilichojificha ndani ya bunge lijalo.
 
Kuzomewa kwa Masha kunaweza kuwa kwa aina mbili.

1.Kwanza kwasababu ya Mzee wake Dr. Masha ambaye ni WMalimu hapo SAUT.nilishawahi kuwa hapo na huyu mzee anaongoza kwa kukamata wanafunzi wa hapao na kutoa maksi za chini.hii inawezekana wanafunzi hawampendi na wakiona mtu yeyote ambaye ana jina la Masha wanaweza kumshambulia.#

2.pili,ni kutokobalika kwa chama cha Mapinduzi kwa baadhi ya wanafunzi,sababu ya wanafunzi kukosa mikopo na sababu nyingine za hapa na pale.
 
kuzomewa kwa masha kunaweza kuwa ni ishara ya wazi kuwa tabaka kubwa la wasomi wa tanzania hawana imani na ccm.
 
Wiki moja iliyopita nilisema kwamba huyu kijana ameanza vibaya na ninadhani anaendelea kuchemsha. Anatakiwa kuwa makini, madini na ufisadi ni bomu ambalo linasubiri kuteguliwa anytime na hivyo kiongozi yeyote anayeongea kutetea serikali kuhusu ufisadi au madini basi anahitaji kuwa makini zaidi na hoja zake na siyo kukurupuka as if anaongea na watu wa enzi za Nyerere. Siku hizi hata wakazi wa Kakola kule Kahama wanazomea wabunge na hata kuzuia msafara wa Rais kisa ni madini.

Hivi tangu lini mikataba ya madini kati ya serikali na makampuni ikatangazwa redioni ama kwenye magazeti? Wabunge wenyewe kuipata hiyo mikataba ni mbinde, halafu waziri mzima unakurupuka kudai kwamba wananchi hawasikilizi redio wala kusoma magazeti.

Hoja ya nyongeza, sekta ya madini hata ikikua kwa 100% na mchango wake kwenye pato la taifa ikawa ni 80%, kwa sheria ya madini iliyopo pamoja na sera ya madini na uwekezaji ambazo zipo sasa hakuna mtanzania atafaidi matunda ya hilo pato zaidi ya makampuni yenyewe ambayo yamepewa incentives kibao na wigo mpana wa kukwepa kutoa thamani halisi ya madini wanayochimba na kuuza na pia hakuna ukaguzi madhubuti. Kwa hiyo mapato yote ya mauzo ya madini yanaishia nje kwa makampuni, kwani wameruhusiwa kuwa na offshore accounts ambako ndiko malipo yanakofanyika kinachorudi Bongo ni mrahaba tu wa 3% ambao nao unakuwa undervalued kwa kuwa jamaa hawafanyi declaration halali ya mauzo halisi ya dhahabu.

Labda tumsubiri Mzee Bomani kama atakuja na muarobaini wa sekta ya madini. Sisi hatuko interested na kujua asilimia, sisi tunachotaka kujua ni namna gani sekta ya madini inamsaidia mtanzania. Kama serikali ingekuwa na hisa kwenye hiyo migodi angalau kungekuwa na kupigiana pasu ya mapato ya mauzo ya dhahabu ambayo yangeingia serikalini na hivyo kuboresha huduma za jamii.
 
Apo mwenyewe aliharibu kwenda kwa wanachuo wakati wanakijiji wa kawaida tuu siku izi anaelewa ABC za siasa za Tanzania kukosa dhiki hii inayosababisha watu kuhongwa na kukipa tafu chama tawala.
Huwezi waambia watu huyu ni mbuzi wakati wanajua ni simba.Jamani hawa wanasiasa wetu hawajui ata kusoma arama za nyakati?
Huu sio ulimwemgu wa kuwalisha watu sumu wakati info kibao kuhusu nchi yao.
 
Kuzomewa kwa Masha kunaweza kuwa kwa aina mbili.

1.Kwanza kwasababu ya Mzee wake Dr. Masha ambaye ni WMalimu hapo SAUT.nilishawahi kuwa hapo na huyu mzee anaongoza kwa kukamata wanafunzi wa hapao na kutoa maksi za chini.hii inawezekana wanafunzi hawampendi na wakiona mtu yeyote ambaye ana jina la Masha wanaweza kumshambulia.#

2.pili,ni kutokobalika kwa chama cha Mapinduzi kwa baadhi ya wanafunzi,sababu ya wanafunzi kukosa mikopo na sababu nyingine za hapa na pale.

Gembe rudia kusoma na usitafute nafasi ya kukwepa hili .Baada ya kusema Serikali iko wazi ndipo akaanza kuzomewa.Yaani baada ya hilo tamko tu basi akazomewa na si wakati mwingine wowote .Naomba rudi usome tafadhali .
 
Walalahoi wamechoka kudanganywa. Masha amekulia US, kwa hiyo haelewi magumu gani waTZ wamepambana nayo tokea awamu ya kwanza hadi sasa ambapo ajira zao haziwasaidii kitu. Siasa hivi sasa ndio imekuwa ajira njema peke yake. Nashindwa kuelewa Masha amekuwaje waziri wa mambo ya ndani wakati undani wa nchi yetu hanao.
 
Waziri azomewa na wasomi

2008-03-17 08:55:43
Na Juma Ng\'oko, PST, Mwanza

Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Lawrence Masha, ameonja joto ya jiwe baada ya kuzomewa na baadhi ya wahadhiri pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) cha jijini Mwanza.

Waliomzomea siyo wanafunzi peke yako, baadhi wahadhiri pia walimzomea, Mkuu Gembe, sijui baba Dr. Masha anakamata wahadhiri vilevile hapo SAUT au...?
Waziri Masha alizomewa hadharani kwenye mjadala aliposema serikali iko wazi katika kutangaza masuala mbalimbali yahusuyo madini.
Ok kumbe alizomewa "aliposema" kwa hiyo pengine angekaa kimya asingezomewa. On a serious note, yeye asingeanza kupinga kauli za mheshimiwa Zitto, kama mwanasiasa alitakiwa kuelekeza nguvu zake kwenye kuonyesha mazuri au jitihada ambazo serikali inafanya kurekebisha hali hiyo, ie. kusisitiza kuwa kamati zinaundwa kuchunguza mikataba, serikali imelipa suala hili kipaumbele n.k. Aidha angejikita zaidi kuongelea kilimo, uvuvi, maliasili maadam ndivyo vilivyokuwa vinajadiliwa kwenye kongamano hilo.
Alisema Watanzania wasioelewa kuhusiana na mikataba hiyo ya madini ni wale wenye uelewa mdogo na ama hawasomi magazeti au hawasikilizi redio.
Hii kejeli kama sio matusi, mikataba yenyewe siri hata wabunge kuiona bila songombingo haiwezekani(hajui hilo au labda mwenzetu ana special priviledge anaiona na kuisoma tofauti na wabunge wengine?) sembuse raia wa kawaida kuisikia redioni, au kuisoma magazetini?
Hapo mheshimiwa naona alijisahau alidhani yuko Marekani alikokulia ambako access na information ni ya kumwaga ukilinganisha na Tanzania.
PST ilikuwepo na ilishuhudia Bw. Masha akizomewa mchana saa 7:52 wakati akijaribu kufafanua mada hiyo.
Sasa mpaka exact time aliyozomewa (nimeona pia exact time aliyoingia Zito imeandikwa) sioni mantiki yake zaidi ya ushabiki wa mwandishi tu!
Mbunge huyo alisema kuwa karibu Watanzania wote wanaamini kwamba pato la taifa kutokana na sekta ya madini ni asilimia tatu kwa mwaka lakini bila kuwa na ufafanuzi wowote.
Je mheshimiwa waziri alitoa ufafanuzi gani juu ya hilo au aliwaacha wananchi (aliodai wana upeo mdogo, wasiosoma magazeti wala kusikiliza redio) waendelee kuamini hivyo?

Ikiwa kauli za mheshimiwa waziri Masha zimenukuliwa kwa usahihi, basi kazi kwelikweli!
 
Waliomzomea siyo wanafunzi peke yako, baadhi wahadhiri pia walimzomea, Mkuu Gembe, sijui baba Dr. Masha anakamata wahadhiri vilevile hapo SAUT au...?

Ok kumbe alizomewa "aliposema" kwa hiyo pengine angekaa kimya asingezomewa. On a serious note, yeye asingeanza kupinga kauli za mheshimiwa Zitto, kama mwanasiasa alitakiwa kuelekeza nguvu zake kwenye kuonyesha mazuri au jitihada ambazo serikali inafanya kurekebisha hali hiyo, ie. kusisitiza kuwa kamati zinaundwa kuchunguza mikataba, serikali imelipa suala hili kipaumbele n.k. Aidha angejikita zaidi kuongelea kilimo, uvuvi, maliasili maadam ndivyo vilivyokuwa vinajadiliwa kwenye kongamano hilo.

Hii kejeli kama sio matusi, mikataba yenyewe siri hata wabunge kuiona bila songombingo haiwezekani(hajui hilo au labda mwenzetu ana special priviledge anaiona na kuisoma tofauti na wabunge wengine?) sembuse raia wa kawaida kuisikia redioni, au kuisoma magazetini?
Hapo mheshimiwa naona alijisahau alidhani yuko Marekani alikokulia ambako access na information ni ya kumwaga ukilinganisha na Tanzania.
Sasa mpaka exact time aliyozomewa (nimeona pia exact time aliyoingia Zito imeandikwa) sioni mantiki yake zaidi ya ushabiki wa mwandishi tu!

Je mheshimiwa waziri alitoa ufafanuzi gani juu ya hilo au aliwaacha wananchi (aliodai wana upeo mdogo, wasiosoma magazeti wala kusikiliza redio) waendelee kuamini hivyo?

Ikiwa kauli za mheshimiwa waziri Masha zimenukuliwa kwa usahihi, basi kazi kwelikweli!

Sasa nangoja watetezi wa Masha waje waseme inakuwaje mtu msomi na mwandilifu hawezi kusoma alama za nyakati kwa kutetea uozo.I hope polisi hawataanza kuzunguka pale kujua nani alianza kuzomea ili wamkamate .Ni aibu kubwa hii
 
Mimi nasema hivi hii report nzima imeandikwa kichizi! yaani sielewi kitu kabisa... kwanza soma hapa:-

Waziri Masha alizomewa hadharani kwenye mjadala aliposema serikali iko wazi katika kutangaza masuala mbalimbali yahusuyo madini.
Alisema Watanzania wasioelewa kuhusiana na mikataba hiyo ya madini ni wale wenye uelewa mdogo na ama hawasomi magazeti au hawasikilizi redio.

Kisha soma kilichofuatia:-
``Kama nilivyotangulia kusema, Mheshimiwa Kabwe ni rafiki yangu. Ila ninachotaka kusema ni kwamba siyo kweli kwamba watu hawasomi magazeti na hawasikilizi redio wakati serikali inapokuwa inatangaza masuala mbalimbali yanayohusu mikataba,`` alisema Bw. Masha na kuanza kuzomewa.

Nimetoka mtupu!..

Mkandara,

nimeanza kuamini maneno ya Kitila kuwa mtu hata akiwa msomi na smart kiasi gani, akishaanza kutetea ufisadi anakuwa mtupu. Kwa hili naona Masha anazidi kuprove hii hypothesis... Poor Masha.

Tulia ujipange vizuri.
 
Sasa hivi naona mafisadi na washirika wao wanamkoma nyani giradi. Inawabidi wazinduke kwani walalahoi wameshapitisha unwriten law "Either you are with us [walalahoi] or against us [mafisadi]" bila shaka sebene linaingia tartiiiiiiibuuuuuuu.
 
Wako wapi akina FMES na Kadampinzani jamani??
Mbona watu wanasema ukweli kuhusu masha na hawa jamaa hawaweki lao neno? Unataka kuniambia hawajaiona hii thread au?
Nimeuliza hivi kwa sababu walimtetea sana huyu masha siku za karibuni, wakidai the Guy is smart kwa sababu ni msomi, na vingine walivyovieleza wao
sasa leo wako wapi??
Mteteeni tena leo

Meaning, you still hold views from those sources in high esteem? Or this has to do with the satisfaction derived from their capitulation?
 
Kuzomewa kwa Masha kunaweza kuwa kwa aina mbili.

1.Kwanza kwasababu ya Mzee wake Dr. Masha ambaye ni WMalimu hapo SAUT.nilishawahi kuwa hapo na huyu mzee anaongoza kwa kukamata wanafunzi wa hapao na kutoa maksi za chini.hii inawezekana wanafunzi hawampendi na wakiona mtu yeyote ambaye ana jina la Masha wanaweza kumshambulia.#

2.pili,ni kutokobalika kwa chama cha Mapinduzi kwa baadhi ya wanafunzi,sababu ya wanafunzi kukosa mikopo na sababu nyingine za hapa na pale.

Uchambuzi muflsi.

Ingekuwa sababu ni hizo ulizozianzisha wewe, basi Masha angezomewa None Stop.

Kuna Watanzania ni Magwiji kwenye Word fabrications wakiamini kwamba uongo ukiongelewa muda mrefu hugeuka ukweli.

Kuweni wazalendo, Uzalendo kwa nchi yako ni jambo lisilo epukika.
 
Back
Top Bottom