Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Nchi hii kweli tuna miaka 500 kupata maendeleo ya kweli kwa hali hii.

Eti Karne ya 21 hii mtu anagawa baiskeli tena miezi michache kabla ya uchaguzi ili kuwarubuni watu. Na watu kweli watarubunika kwa baiskeli tena phonex.

Watanzania ni watu wajinga sana!
 
Hii inatofauti gani na ya Morogoro?
Kwa Morogoro ni Mbunge katoa Rushwa, kwa Tabora ni “Kutoa ni Moyo”?
TAKUKURU shame on you!
Double standards
TAKUKURU hawajiingizi kwenye kila kitu...wana miongozo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…