Tundu's sentiments. Woga hadi kwa mali yako!We are going to pay the price!
Hebu tuone "if Hamis Kigwa can walk the talk"!
Fanya utafiti kabla hujaongea. Katika kitalu ambacho uwindaji haufanyiki kwa asilimia mia ya quota inayotolewa ni Loliondo na sababu kubwa ni anaewinda pale hategemei uwindaji kama biashara. Lkn amekuwa akilipa 100% quota kwa miaka yote. Na kwa taarifa yako nchi yetu haijakataza biashara ya wanyama hai.Sasa ndio tuna amka, kama kubeba wanyama wamesha beba wengi sana. Hivi karibuni Dubai wanafungua Dubai safari park. Siku za mbeleni tutaenda huko kuona wanyama.