Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

katika ili nisiwe mnafiki mi naafiki 100% kuwa lina tija kama akifanikiwa atakua amefanya mambo ambayo vipofu wengi awakuyaona
 
Maliasili zetu lazima zilindwe sana,Masai wa Loliondo wamenyanyasika kwa muda mrefu,ni wakati wa kufurahia maisha yao walioishi hapo tokea enzi
 
Guess who is with us in Serengeti National Park these last days of the month..
Karibu sana Prince Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud (Arabic: محمد بن سلمان بن عبد العزيز آل سعود‎‎; is the Crown Prince of Saudi Arabia, First Deputy Prime Minister of Saudi Arabia and the youngest minister of defense in the world.
Hawa Ndio watalii Tunao taka High Net Income.....Ukipata 100 hawa kwa mwaka nchi iko mbali.
wacheni siasa za chuki...maeneo mengi ya utalii yamekodishwa kwa faida na hifadhi. yakiachiwa yatavamiwa na pochers wata waangamiza wanyama wetu.

prince.jpg
 
Soon it might come up ingewezekana kuundwa kwa tume kama za madini huenda yakajulikana mengi
 
Kama kweli kigwangala will move on na hilo jambo he might be e hero where is James lembeli and Mr nyalandu but he might move faster on Grumet with sasakwa,falu falu,singita and his legal advisory Mawala advocates who had hunting block of mwiba holdings
 
Maliasili zetu lazima zilindwe sana,Masai wa Loliondo wamenyanyasika kwa muda mrefu,ni wakati wa kufurahia maisha yao walioishi hapo tokea enzi
 
Kuna dalili kigwa akawa waziri atakayedumu kwa muda mfupi zaidi ktk wizara hii
 
Hivi hawa wawekezaji wa loliondo waliwekeza kipindi cha awamu ya nani?

Ova
 
Tanzania tuna maeneo mengi tu yasiyokaliwa ambayo hata tuzaane kama wachina hatutayajaza. Tunamng'ang'ania nini mwarabu? Tatizo letu tukiona eneo limeendelezwa ndio huwa tunasema tunanyonywa! Atokee mwingine aendeleze mbuga za katavi, songea,ruaha, biharamulo, longido na kwingineko utasikia mhh waondoke wamejitwalia ardhi yetu!
 
Utalii wetu wote kwa sasa umebebwa na kanda ya kaskazini. Kwa maana ya migration maarufu ya wanyama wanaohama kutoka Serengeti kwenda Masai mara na kurudi kila mwaka. Na kama sikosei ndio migration pekee ya wanyama iliyobakia duniani kwa sasa. Nyingine zote zimeshapotea. Walio kwenye tasnia hii ya utalii wanaujua ukweli mgumu kuwa ulitaka wanyama pori wahame mahali basi ingiza mifugo kwa wingi katika eneo husika, ukifanya hivyo wanyama wanahama. N.a. ndo maana sasa kuna mchakato wa kuwatoa waliopo Ngorongoro crater kwasababu muda umeonyesha kuwa athari ya kuwaweka sehemu moja si nzuri. Kule Loliondo ni katika njia ya migration (route) na ile mifugo kwa wingi wao wamedisrupt huo utaratibu wa wanyama kuhama. Zamani athari haikuwa noticed kwasababu mifugo haikuwa mini kama ilivyo sasa. Tukisha uwa migration damage kwa utalii itakuwa kubwa mno. Na ndipo tunapoelekea. Ili kulinda huu urithi wa dunia (world heritage)lazima ndugu zetu wamasai wakubali kubadilika kwa mbinu zao za ufugaji. N.a. kwa hili tukikubali wana siasa kuligeuza hili kuwa mtaji tutakuwa tumekubali kuipoteza world heritage hii muhimu.
 
Sasa ndio tuna amka, kama kubeba wanyama wamesha beba wengi sana. Hivi karibuni Dubai wanafungua Dubai safari park. Siku za mbeleni tutaenda huko kuona wanyama.
 
Sasa ndio tuna amka, kama kubeba wanyama wamesha beba wengi sana. Hivi karibuni Dubai wanafungua Dubai safari park. Siku za mbeleni tutaenda huko kuona wanyama.
Fanya utafiti kabla hujaongea. Katika kitalu ambacho uwindaji haufanyiki kwa asilimia mia ya quota inayotolewa ni Loliondo na sababu kubwa ni anaewinda pale hategemei uwindaji kama biashara. Lkn amekuwa akilipa 100% quota kwa miaka yote. Na kwa taarifa yako nchi yetu haijakataza biashara ya wanyama hai.
 
Back
Top Bottom