Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
=====
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangala, amesema Serikali inakusudia kusitisha utoaji wa leseni kwa Kampuni ya uwindaji ya Otterlo Business Corporation (OBC).
Hujakosea ndiye yeye,
100% sureWe are going to pay the price!
Tena business class.Na ndiko ambako bwana 'Tigwa' alipanda ndege akakaa kwenye seat?
haya mambo yashatokea zaamani miaka ya 70 azimio la Arusha , tukapigwa vita tukawa hatuna hata sabuni , tunarudi tena kwenye mambo hayo uwezi kuyanganya vitu vya watu wakati walipewa na serikali ya ccm ?. mwishowe tutakwenda mahakamani kulipa fidia kesho wanaweza kuchukua mali za wafanya biashara za wazalendo
Wewe ni mpumbavu. Mkoloni sawa, na bado anakutawala! Na ataendelea kututawala kama "Rais" wenyewe ndio haoWewe ni mjinga ndio hata leo mkoloni akiija utampigia magoti
Wewe ni mpumbavu. Mkoloni sawa, na bado anakutawala! Na ataendelea kututawala kama "Rais" wenyewe ndio hao
Hakuna anayeweza kupinga neema kwa nchi yake.nadhani kunawatu huwezi kuamini kama ni watanzania AU UGUMU WA maisha unawapiga ndio maana hawana akili.. wanapinga kila kitu atakama ni kizuri kwa NCHI YETU
Hivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?
haya mambo yashatokea zaamani miaka ya 70 azimio la Arusha , tukapigwa vita tukawa hatuna hata sabuni , tunarudi tena kwenye mambo hayo uwezi kuyanganya vitu vya watu wakati walipewa na serikali ya ccm ?. mwishowe tutakwenda mahakamani kulipa fidia kesho wanaweza kuchukua mali za wafanya biashara za wazalendo
Utabiri wako ushatimia hata kabla ya wikiNamuona lazaro nyalandu akihamia chadema kabla ya 2020!