Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

Bunge limewaka leo hakika huu sio upepo hiki ni kimbunga lazima kiende na mawizili zaid ya wawili
 
mathayo anazuga zuga. aachie tu ngazi kwa uzembe. mifugo anayoisimamia imeuwawa ye yuko wapi????????????
 
Back
Top Bottom