Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

  • Thread starter Return Of Undertaker
  • Start date

Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
3,521
Likes
16,348
Points
280
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
3,521 16,348 280
Wakati waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr. Emmanuel Nchimbi alikuwa wa pili na wa Ulinzi akiwa wa kwanza kwa kuitwa na spika kuwa wa kwanza kuzungumza lakini ikaonekana wameingia mitini na kuitwa kwa waziri wa utalii na maliasili ndugu Balozi Hamisi Kaghasheki

Waziri wa Maliasiri na utalii atangaza kujiuzuru rasmi akiwa ndani ya Bunge.

Asema yeye ni mtu mzima na kasikia mengi, kateuliwa na rais kwa matakwa ya rais na hakuomba hivyo ana resign.

Mathayo yeye anadai ameshutumiwa mambo mengi kama sena na mgumo vyote vipo ila hakuhojiwa katika swala lolote , adai tatizo ni mfumo na swala la ardhi liko chini ya wizara ya ardhi na si wizara ya ardhi.

Na swala la mifugo na majosho ni swala la halmashauri na si wizara ya mifugo yeye anaonewa tu.

Asema hajawahi kupewa fedha za bajeti kama anavyoomba ajilinganisha na Yesu kuwa anasurubiwa lakini hana hatia.

Updates;

Waziri mkuu anaongea kwa kujumuhisha kwa mawaziri waliosalia na anaanza kwa kauli zake za kuzunguuuka na kuomba radhi kwa waliotendwa na operation tokomeza.

Anachojaribu kusema kama serikali wanatafakari na watafanyia kazi kama serikali kwani operationi ilikuwa chini ya wizara tatu.

Na anaendelea kutazama na kuangalia na anapendekeza iundwe tume ya kuthibitisha hayo kama alivyoshauri Mwanasheria mkuu wa serikali.

Updates:

Waziri mkuu atangaza kuwa rais ametengua uwaziri wa wizara tatu rasmi zikiwemo ya Ulinzi chini ya Nchimbi, ya ulinzi chini ya Nahodha, ya mifugo chini ya Mathayo na Kagasheki aliyojiuzuru ya maliasili na utalii
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,872
Likes
25,812
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,872 25,812 280
Ameongea kwa uchungu na kuongeza kuwa rais alimteua kwa pleasure.Ameumia sana na mwisho ameamua ku-step down.Amekuwa mzalendo
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,068
Likes
5,270
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,068 5,270 280
sasa hivi bungeni
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Akafie mbele huko,tumemchoka
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,434
Likes
73,963
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,434 73,963 280
Kagasheki atangaza kujiuzulu uwaziri bungeni muda huu.
 
OME123

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
1,553
Likes
257
Points
180
OME123

OME123

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
1,553 257 180
Kagasheki ajiuzulu uwaziri rasmi
 
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
4,441
Likes
3,974
Points
280
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
4,441 3,974 280
Kaaazi ipo. Kaamua ku-resign rasmi na atamwandikia barua rais soon.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,068
Likes
5,270
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,068 5,270 280
Mathayo David naye anaelekea kujiuzulu
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
5,860
Likes
2,277
Points
280
Age
39
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
5,860 2,277 280
Ni muda huu,watch bunge live now.
 
Izack Mwanahapa

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Messages
497
Likes
20
Points
35
Izack Mwanahapa

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2011
497 20 35
Ametamka wazi kujihuzulu jioni hii Bungeni
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,078
Likes
391
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,078 391 180
Muungwana, sijui kwa nini nimempa marks kuliko nilivyomchukulia awali.
 
L

Laiser James

Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
77
Likes
1
Points
0
L

Laiser James

Member
Joined Dec 5, 2013
77 1 0
Waziri wa mali asili Kagasheki ametangaza muda huu kujiuzulu cheo hicho. Ni muda huu Bungeni
 
ferre.g

ferre.g

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
2,222
Likes
19
Points
135
ferre.g

ferre.g

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
2,222 19 135
Ametangaza rasmi kujiuzulu Rasmussen.

Source; TBC LIVE
 

Forum statistics

Threads 1,273,280
Members 490,351
Posts 30,476,446